Search results

  1. Bumpkin Billionare

    Msaada wakuu, kumpata CAMARADERIE urgently

    Samahani wakuu, naomba msaada wenu tafadhali. Nina tatizo ambalo nahisi mwana JF CAMARADERIE angeweza kunisaidia. NimemPM jana asubuhi lakini hakuna response nina mashaka hajaingia JF since then. Kama kuna mtu ana mawasiliano ya simu yake tafadhali anisaidie kumwambia ninamtafuta kwa haraka. In...
  2. Bumpkin Billionare

    Francis Cheka amchekesha Nyilawila ulingoni

    Huu mchezo wa kupenda kupiga domo kwenye vyombo vya habari unaofanywa na mabondia wa hapa nyumbani pindi wanapoomba pambano na dume la milima ya Uluguru utaisha lini? Jana, Karama Nyilawila amepata zawadi ya kuropoka baada ya kukong'otwa TKO ya round ya 6 katkia pambano la masumbwi...
  3. Bumpkin Billionare

    CCM muhurumieni Nape, ameanza kuchanganyikiwa

    Leo katika taarifa ya habari ya ITV ya saa mbili usiku, kwa macho yangu nikiwa mzima sijalewa nimeshuhudia jambo ambalo mpk sasa nimeshindwa kulielewa. Nape anaanza kudata au siasa za Tanzania zinaruhusu hiyo? Nape anaonekana akiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Singida (ambayo iko kwenye...
  4. Bumpkin Billionare

    Dr. Kikwete mtaalam wetu, tutatulie na hili kwa hotuba

    Inakwenda wiki ya pili sasa mgao bubu wa umeme umeshika kasi na sasa umefikia kuhatarisha mitaji ya watu na usalama wa nyumba zao. Mhishimiwa Mkuu wa Kaya amezua tabia ya kukusanya wacheza bao wa mwembe Yanga na kufanya hotuba ya kujibaraguza kila mambo yanapokuwa magumu na hotuba hizi...
  5. Bumpkin Billionare

    Hizi simu zinawakera kama zinavyonikera mimi?

    Mara kadhaa nimekuwa nikipigiwa simu na namba 0901901901 ambayo ni automated call. Unapopokea simu hii unapatiwa maelezo ambayo huna haja wala shida nayo jambo ambalo kwangu mimi huwa naliona usumbufu tu. Cha kushukuru angalau kidogo namba hii ni tofauti na namba zingine za simu kwa hiyo sasa...
  6. Bumpkin Billionare

    Msaada pls: How to create uncopyable cd?

    Wakuu naomba slop kama kuna mtu anajua namna ya kuburn CD in such a way mtu mwingine hawezi kuikopi
  7. Bumpkin Billionare

    Msaada wakuu, mwenye e-mail ya BBC WORLD SERVICE TRUST TZ

    Kama umetokea kuifahamu e-mail ya BBC WORLD SERVICE TRUST TANZANIA, tafadhali msaada kwenye tuta
Back
Top Bottom