Search results

  1. DSpecial

    Naomba kujuwa maana ya Neno UGATUZI

    Nilisikia linatumika kwenye vyombo vya habari, lakini hadi sasa nimejitahidi kujuwa maana halisi ya hili neno lakini sikufanikiwa. Lakini nahisi Wazanzibar wanafahamu vizuri maana naona lilitumika sana na viongozi wa Zanzibar
  2. DSpecial

    I miss you gfsonwin, where are you?

    Kiukweli nimeimisi sana michango ya huyu mwana dada hapa MMU. Nimmoja wa wana JF ambao nawakubali sana kwenye kutoa nasaha na kuchangia mada mbali mbali hapa jamvini. Tafadhali popote pale ulipo, naomba ujuwe kwamba tumekumisi sana hapa jukwaani (MMU).
  3. DSpecial

    Usiku mwema wakubwa......

    Nawasabahi tu jamani, nilipamisi sana jamvini hapa ila nina imani wote wazima......good night to all
  4. DSpecial

    It's nivea birthday to day........happy birthday nivea

    I feel so lucky by having the chance of celebrating this special day of your life. I must say it’s once in a lifetime. Celebrate this day with people who are dear to you. I hope that includes me, even though I am invisible to you, you don’t know me and I may not be there to be with you, but...
  5. DSpecial

    Naombeni wazoefu mnipe majibu hapa kuhusu hawa kina dada maana naona sielewi kwa ni kwanini

    Nikiwa katika hii safari yangu ambayo kwakweli sielewi itaisha lini na pia sijui itaishia wapi, kuna kitu nimekinote kwa kila msichana ninaejaribu kumu approach. Hivi unapo muapproach msichana, mnaongeaa then anaanza kukuuliza maswali yafuatayo 1. Kwenu mpo wangapi 2. Wewe ni wangapi kwenu...
  6. DSpecial

    Kweli siwashangai wanaolia kwa sababu ya mapenzi

    Wazee leo yamenikuta jamani, yani unatokea kumpenda msichana, unamueleza nia yako juu yake then bila sababu yoyote ya msingi anakukataa tu. Dah!.....kweli inahitaji moyo na uvumilivu wa hali ya juu sana kuishi as a single one.
  7. DSpecial

    Seeking for a girlfriend/fiance to be my wife

    Kijana wa kitanzania umri wangu ni 27yrs, najitokeza jamvi hili kwa mara nyingine tena kutafuta girlfriend/mchumba ambae tunaweza kuwa Mke na Mume kama Mungu akipenda inshallah. Ila naomba awe Muslim, mwenye mapenzi ya dhati na mwenye kujiheshimu. Nipo Dar es Salaam kwa sasa ila ni mzaliwa wa...
  8. DSpecial

    Salimu: Looking for a girlfriend/Mchumba

    Naitwa Salimu, naingia tena uwanjani kumtafuta the real one(Mchumba), Nimechoka sana kuwa single jamani WASIFU WANGU Jinsia:Mwanaume Elimu:Chuo Umri:27 yrs Mwonekano:Umbo la wastani, maji ya kunde/mweupe. Dini: Muslim Kazi: I have a temporary job for now Mtoto: Sina Pombe: Sinywi kabisa Sigara...
  9. DSpecial

    Salim, Natafuta mchumba

    Naitwa Salim Athuman, umri wangu ni 27, kwa imani ni Muislamu na kwa sasa ninaishi DSM. Nahitafuta msichana mwenye umri kati ya 22 hadi 25 na sifa kubwa awe Muislam, mpole na mwenye kujiheshimu na kujistiri(Mwenye kuvaa mavazi ya heshima). Itakuwa vizuri awe mweupe/ maji ya kunde, mrefu kiasi...
  10. DSpecial

    Hivi wakina dada mnavyoitwa mademu, mnakubaliana na hili jina?

    Sikuzote kumuita msichana Demu huwa siwezi, na hili neno kulitamka kwenye kinywa changu ni zito sana kwakweli. Na kwa nilivyokuwa nikidhani hapo awali nilikuwa najua kama kunmuita msichana demu ni kama kumdhalilisha flani hivi. Ila naona linatumika sana kwakweli, lakini sijui kwa nini hili neno...
  11. DSpecial

    Natafuta Mchumba/ mke mtarajiwa

    Naitwa Salim Athuman, umri wangu ni 27, kwa imani ni Muislamu na kwa sasa ninaishi DSM. Nahitafuta msichana mwenye umri kati ya 22 hadi 25 na sifa kubwa awe Muislam na mwenye kujiheshimu na kujistiri. Itakuwa vizuri awe mweupe/ maji ya kunde, mrefu kiasi na mnene kiasi na mwenye elimu at least...
  12. DSpecial

    Natafuta Mchumba jamani

    Naitwa Salim Athuman, umri wangu ni 27, kwa imani ni Muislamu na kwa sasa ninaishi DSM. Nahitafuta msichana mwenye umri kati ya 22 hadi 25 na sifa kubwa awe Muislam na mwenye kujiheshimu na kujistiri. Itakuwa vizuri awe mweupe/ maji ya kunde, mrefu kiasi na mnene kiasi na mwenye elimu at least...
Back
Top Bottom