Salimu: Looking for a girlfriend/Mchumba

DSpecial

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
480
158
Naitwa Salimu, naingia tena uwanjani kumtafuta the real one(Mchumba), Nimechoka sana kuwa single jamani

WASIFU WANGU

Jinsia:Mwanaume
Elimu:Chuo
Umri:27 yrs
Mwonekano:Umbo la wastani, maji ya kunde/mweupe.
Dini: Muslim
Kazi: I have a temporary job for now
Mtoto: Sina
Pombe: Sinywi kabisa
Sigara: Sivuti kabisa
Makazi ya sasa: Dar es Salaam

WASIFU WA MLENGWA
Jinsia yake: Msichana
Umri wake: 23-26 yrs
Mwonekano wake: Saizi ya kati (Mnene kiasi/Mrefu kiasi), mweupe au maji ya kunde, na pia awe mwenye kujistiri(Hijab)
Dini: Muslim
Elimu: Certificate/Diploma or above
Kazi: Mwalimu au kazi yoyote ya halali au hata ambae bado yupo chuoni
Watoto: Asiwe na mototo na awe hajawahi kuzaa
Pombe: Asitumie kabisa
Sigara: Asitumie kabisa

Kifupi mimi sio tajiri, ni mtu wa kawaida tu na nahitaji mwenye mapenzi ya dhati jamani, na anaetambua kuwa maisha ni shida na raha.

Interested one can email me on: salimathuman78@yahoo.com or can send a private messege(PM) into my profile. Mobile number will be given to interested one.
 
Umesema hujawahi kuwa na mpenzi?
Halafu hebu jifunze kuukabili ulimwengu, acha kujiinamia ukutani. Wachumba watataka kukuona sura yako.
kila la kheri baba.
 
Kiukweli sijawahi kuwa katika r'ship, ila kuanzia sasa naona uzalendo unanishinda kwakweli. Kuhusu sura yangu nadhani muhusika ataiona tu pale tutakapo kutana at first time.
 
All the best. Ila ingekuwa vema uweke na salary range, yaani
Mshahara wangu. 700,000 - 2,000,000. N.k
Hapo pm zitakuwa mara dufu.
 
safi sana mambo mengi umeyaweka wazi ila sifa za huyo m/Ke nyingi ni ngumu ndio maana mpaka sasa haujapa kama unahitaji mtoto kama huyo omba likizo kama ya mwezi utembelee zimbabwe oh im sole im glade utembelee unguja utawapata wengi sana
 
Hongera sana kwa kujitunza. Usijali, mahusiano hayana haraka. Kuwa muangalifu usibadili hayo masharti uliyoweka hapo manake hauwezi kumbadilisha mtu baada ya kuingia kwenye mahusiano.
By picha nilimaanisha avatar, weka iliyo more positive, na uso wenye furaha.
Kila la kheri Salim.
Kiukweli sijawahi kuwa katika r'ship, ila kuanzia sasa naona uzalendo unanishinda kwakweli. Kuhusu sura yangu nadhani muhusika ataiona tu pale tutakapo kutana at first time.
 
All the best. Ila ingekuwa vema uweke na salary range, yaani
Mshahara wangu. 700,000 - 2,000,000. N.k
Hapo pm zitakuwa mara dufu.

Mkuu kama nilivyosema hapo awali, kazi ninayofanya ni temporary bado sijapata ajira ya kudumu, na kiasi ninachopata kwa kweli hata kwa mahitaji yangu tu binafsi bado ni kidogo napia nadhani sio vema kila mtu afahamu kuwa napata kiasi gani, ila kutokana na umri nilionao sasa naona sina jinsi inabidi tu niwe na mchumba ambae Mungu akipenda tuwe kitu kimoja hapo baadae.
 
Hongera sana kwa kujitunza. Usijali, mahusiano hayana haraka. Kuwa muangalifu usibadili hayo masharti uliyoweka hapo manake hauwezi kumbadilisha mtu baada ya kuingia kwenye mahusiano.
By picha nilimaanisha avatar, weka iliyo more positive, na uso wenye furaha.
Kila la kheri Salim.

Ahsante kwa ushauri....
 
Mkuu kama nilivyosema hapo awali, kazi ninayofanya ni temporary bado sijapata ajira ya kudumu, na kiasi ninachopata kwa kweli hata kwa mahitaji yangu tu binafsi bado ni kidogo napia nadhani sio vema kila mtu afahamu kuwa napata kiasi gani, ila kutokana na umri nilionao sasa naona sina jinsi inabidi tu niwe na mchumba ambae Mungu akipenda tuwe kitu kimoja hapo baadae.

Hapo tu ndio umekosea sidhani kama watakuja tenaa,ushawapeperusha ndege.....
 
Kwa kweli hata mimi hii kazi bado sijaridhika nayo na bado nipo katika harakati za kutafuta ajira yenye maslahi ya kuridhisha kidogo. Na pia natambua, nikweli kwa wasichana wa kipindi hiki wakiona nilivyojieleza hapa ni ngumu sana kukubaliana na hii hali, lakini nimeona haina sababu ya kutokuwa mkweli katika maswala kama haya. Ni bora niseme hali halisi niliyonayo sasa ili hata atakae tokea kunipenda kwa dhati basi akubaliane na hali niliyonayo.
 
Yap yap nakubaliana na wewe brah wanawake wa kisasa wapo kimaslahi sana,wameweka pesa na mali mbele.
 
Pesa na mali Kwanza Hawa watu.
excited_woman_holding_cash_2246039_hh1k-1.jpg

girls_stuck_car_00.jpg

nicky3.jpeg
 
Back
Top Bottom