Search results

  1. N

    Biashara ya madini dhahabu huko rukwa!!

    Wadau samahani naomba mnijuze kwa wenye ufahamu? Katika Mkoa wa Rukwa kuna machimbo madogo ya dhahabu na nasikia biashara ya dhahabu inalipa huko? Je mtaji inaweza ikawa kiasi gani na soko lake likoje????
  2. N

    African barrick gold kwa yeyote mwenye update nafasi ya cctv operator???

    Wadau naomba kuuliza, tuliitwa kwenye Interview na hawa jamaa wa ABG kwa nafasi ya CCTV OPERATOR tarehe 26/04/2012, wakasema watatujulisha?? So nauliza kwa yeyote ambaye amepewa feedback????
  3. N

    Any update kwa waliofanya interview NSSF?

    Wadau naomba kuuliza kwa mtu yeyote aliyefanya Interview NSSF!! Waliwaita watu wote ambao walikuwa wanawahitaji kwa second Interview au bado wataita tena??
  4. N

    Wadau vipi nhif mbona kimya?

    Aisee leo ni siku ya 41 tangu tufanye Interview pale NHIF katika ukumbi wa Baraza la Maaskofu!! Mtu yeyote mwenye jipya au tetesi zozote maana zile nafasi zimetangazwa kuwa ni TEMPORARY EMPLOYMENT!! Sasa kwa hali hii ikiwa Permanent Employment itakuwaje??
Back
Top Bottom