African barrick gold kwa yeyote mwenye update nafasi ya cctv operator???

Naitwa Nani

Member
Dec 18, 2011
29
2
Wadau naomba kuuliza, tuliitwa kwenye Interview na hawa jamaa wa ABG kwa nafasi ya CCTV OPERATOR tarehe 26/04/2012, wakasema watatujulisha??
So nauliza kwa yeyote ambaye amepewa feedback????
 
Back
Top Bottom