Wakuu,
nimengojea, bila mafanikio sioni hili jukwaa likirudi.
Tatizo ni nini jamani?
Utawala JF wengi tunangojea kwa hamu kubwa kuona likirudishwa.
Natanguliza shukrani, kwa niaba ya wapenzi wa jukwaa
Waombolezaji wenzangu, tungefarijika kama mngetuhabarisha shughuli ya mazishi ya mashujaa wetu inavyoendelea hapo Arusha kwani saa 4 asubuhi imekaribia.
MSIBA: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, akiwa pamoja na Mbunge wa jimbo la Arusha, Godbless Lema, wakibeba mwili wa marehemu Ismail Omar...
Jamani hayo maandishi meusi yana uhusiano na ujumbe aliopeleka Obama na running title waliyoweka the Guadian?? Mbona waTz tenapendelea kudangany'ana kila siku ?? Yaani media za Tz ni zero!! US President Barack Obama has congratulated President Jakaya Kikwete on his re-election as the president...
Nimeona kwenye nyuuzi za leo mweusi wa kwanza kuchaguliwa diwani huko Russia.
Pamoja na ubaguzi wa rangi wa wazi unaofanyika kwenye hilo Taifa, huyu mheshimiwa mwenye asili ya Guinea, anasema ameruka vihunzi na vizingiti vyote na hatimaye kuandika historia.
Hizi habari za mauaji ya albino zinasikitisha na kututia aibu kubwa.
Hebu angalieni Associated Press walivyoandika
http://news.yahoo.com/s/ap/20091128/ap_on_re_af/af_africa_albino_killings
Habari za CNN zinasema China
1. Wamewapiku Germany na sasa wapo nyuma ya Japan na USA in terms of economic volume/gross domestic product.
2. Uchumi wao umekua 10-fold tangu 1979 (i.e. within 30 yrs period).
3. Wamefuta umaskini kwa watu 200 million, more than 90% of the total population...
Urgent need to clean up Central Banks top hierarchy
Courstesy ThisDay Editor
FRESH reports of payments amounting to over 6bn/- paid to four private companies by Bank of Tanzania (BoT) through the countrys troubled external payment arrears (EPA) account during financial year 2006/7 have...
To Dear our customers, Good day to you,
Trust you and all your family members are fine.
This is Toru Ogawa, staff of Autorec Enterprise Ltd. Japan.
Thank you very much for your kind and daily support to us and we have been working hard and enjoyng doing business in Tanzania...
1 Malawi
2 Somalia
3 Comoros
4 Solomon Islands
5 DRC
6 Burundi
7 East Timor
8 Tanzania
9 Afghanistan
10 Yemen
Majority of these countries underwent political instability.
But TZ has been always politically stable and endowed with vast natural resources.
We need to take this issue...
Siri ya polisi yafichuka
2007-11-29 10:33:01
Na Lucy Lyatuu
Sakata la askari polisi walioua na kuwajeruhi raia jijini Dar es Salaam, limeingia sura mpya baada ya mmoja wa aliyejeruhiwa katika tukio hilo, kupinga waziwazi taarifa ya Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Bw...
Najua wengi wamepoteza interest na haya magazati.Lakini naona ni vema mara mojamoja kuangalia yaandikwayo.
LETTER FROM NAMIBIA :
Is Bongo that corrupt?
Kiangiosekazi Wa-Nyoka, Windhoek
Daily News; Tuesday,November 27, 2007 @00:01
IS what we hear from Bongo true? Over the last...
Ndugu Mtanzania Mzalendo,
Lengo la nyaraka hii ni kutoa ufafanuzi wa kina kuhusu hoja mbalimbalizilizojitokeza kutokana na 'Hoja yangu ya Kuundwa kwa Kamati Teule yaBunge', kuchunguza matumizi mabaya fedha za umma, uwezekano wa uwepo waubadhirifu, uwizi na ufisadi mkubwa ndani ya BOT ambacho ni...
More prisoners living in solitary confinement
The Yomiuri Shimbun (Japan)
The number of prisoners living in solitary confinement has been growing, and accounted for 47 percent of all prisoners as of the end of September, it has been learned.
According to sources, the increase has been...
Wananchi sasa waibana Buzwagi
Na Patrick Mabula, Kahama
SAKATA la baadhi ya wanakijiji wenye mali wakiwamo wachimbaji wadogo katika mgodi wa Buzwagi ambao walishagoma kupokea fidia kutoka kampuni ya Barrick kwa madai kuwa wanapunjwa na kwenda mahakamani, wamegoma kuondoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.