Elections 2010 Gazeti la Guardian lapotosha juu ya pongezi za Obama kwa Watanzania

Mfwatiliaji

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
1,323
67
Jamani hayo maandishi meusi yana uhusiano na ujumbe aliopeleka Obama na running title waliyoweka the Guadian?? Mbona waTz tenapendelea kudangany'ana kila siku ?? Yaani media za Tz ni zero!! US President Barack Obama has congratulated President Jakaya Kikwete on his re-election as the president of Tanzania.

“I congratulate the people of the United Republic of Tanzania on your recent national election and your continued commitment to a tradition of multiparty contests begun in 1995,” said Obama in an official statement issued by the US Embassy in Dar es Salaam yesterday.The US president said in the statement that he was looking forward to working with President Jakaya Kikwete and members of the tenth parliament in building a long and fruitful partnership between the two nations, to advance shared development goals and tackle the many global challenges ahead of them.

“I also extend my congratulations to Zanzibar’s President Ali Mohamed Shein, First Vice-President Seif Sharif Hamad, the new unity government, and most especially, the Zanzibari people who have made history by conducting a peaceful contests after years of strife,” said Obama, adding:

“As I said to President Kikwete when we met at the White House in 2009, the people of the United States support all Tanzanians in your efforts to institutionalize democratic, transparent governance, to realize the full potential of your Union and to ensure that the steps you have taken together toward a lasting peace and prosperity cannot be reversed.”

SOURCE: THE GUARDIAN
 
Ni wapi Obama amempongeza Kikwete?
Nadhani alichopongeza Obama ni waTz kwenda kupiga kura!! That's all..! Of course, amempongeza Shein/Maalim, lakini hajampongeza Kikwete.
 
Ni sababu ya kujikomba. Sio kwamba hawajui wanaloandika. Ndio maana dr slaa hamtambui jk. Obama hajampongeza jk bali kampongeza dr shein na wananchi wa tz
 
Tatizo waandishi wetu nao hamna kitu zaidi ya kushadadia tu mambo!!! sijui wanatafuta nafasi ya usemaji wa Ikulu au mwandishi wa Rais????
 
Nimefurahi saaaana, ngoja tulazimishe lazimishe tu mwaya, tufanye kama vile kampongeza
 
Kwa uchakachuaji wa habari kama huo Guardian wanajimaliza wenyewe; kwani salamu za rais Oboma ziko wazi, yeye pongezi zake zinaishia kwa Shein na watanzania wote katika ujumla wao. Inapokuja kwa JK,rais Obama anakili kwamba, kwakuwa yeye ndiyo yuko madarakani, bila kujali madaraka hayo kayapataje, Marekani haina budi kuendelea kufanya shughuli naye.
 
Kumbe na The Guardian nao wamechakachua hii habari!!!! Mimi nimesoma Daily News na kukutana na uozo huo huo..., ni aibu sana kwa tasnia ya habari hapa nchini
 
Tulisha idiscuss hii kitambo jamani vip?
Watu wanapenda ndazaaaaaaaaaa
Icho ni kiingeleza straight in person JK hajapongezwa bali watanzania unlike the same letter to Shein
 
Kama kuongea tu umombo ni kazi ije iwe kutafsiri? Hata ukisikiliza waandishi wetu wakiuliza maswali kwa ile lugha ya malkia utacheka. hapa napata picha mbili kamili:
1; kujikomba kwa KJ kuwa kapongezwa
2: Kutoijua Lugha ya Malkia

msisahau kuwa waandishi wetu ni watu wa kujikomba kwa serikali na uongozi wake na wanaandika habari kwa shinikizo la watawala si kwa utashi wa kiandishi na kuzingatia ethics zao.

Wakitishiwa kidogo tu wanarudi nyuma na wanakuwa mabubu.

Angalia ktk ule mdahalo feki wa KJ walikusanywa kama makinda ya tetere wakawa wanalishwa maswali ya kuuliza mdomoni, "spoon feeding". Maswali ya kupikwa na kupakuliwa.
Hovyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Back
Top Bottom