Yaliyojiri Arusha katika mazishi ya waliouliwa na Polisi

Mfwatiliaji

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
1,323
67
Waombolezaji wenzangu, tungefarijika kama mngetuhabarisha shughuli ya mazishi ya mashujaa wetu inavyoendelea hapo Arusha kwani saa 4 asubuhi imekaribia.

167717_1673406368783_1646147558_1560841_1969257_n.jpg

MSIBA: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, akiwa pamoja na Mbunge wa jimbo la Arusha, Godbless Lema, wakibeba mwili wa marehemu Ismail Omar ambaye alifariki januari 5 mwaka huu kwa kupigwa risasi na polisi akiwa katika maandamano ya CHADEMA mjini Arusha. Marehemu alizikwa leo Usa river baada ya kuagwa viwanja vya NMC mjini Arusha.

More photos:
167109_175117322524527_135719259797667_317209_3652943_n.jpg

mashujaa4.jpg

23wkx7a.jpg

mashujaa23.jpg

mashujaa20.jpg

28bha9l.jpg

cimg4526.jpg
 
Yah, .ndugu waombolezaji msisahau na kutuwekekea picha wakati mnatuhabarisha yanayojiri hapo arusha..kikubwa ningefurahi kama ningeona jinsi bendera ya Chadema ilivyoyapendezesha majeneza ya mashujaa wetu
 
Aluta Continua huu moto tuliouwasha hautazimika leo wala kesho mpaka mafisadi wote waondoke. tupeni news jamani
 
Vuteni subira, maandalizi yanaendelea vizuri. Moods and emotions. Undercurrents za ccm na polisi ni high
 
Hamu yangu hasa ni kunukuu kichwani na kuona kimatendo TAMKO RASMI LA CHADEMA kuhusu Unyama wa Polisi 5/1/2011. Mwana JF, Ungekuwa CHADEMA tamko lako lingekuwa lipi?
 
picha na kutupa hotuba live, ya kuhusu tamko la CHADEMA kuhusu hayo mahuaji
 
Tupo pamoja katika mapinduzi ya kweli tanzania bara. Tujurishane wakuu kinachojili huko.
 
watu wamejaa haijawahi kutokea kama unafahamu uwanja wa nmc ulipo.watu wamejaa hadi ilipo bank ya crdb hakuna nafasi watu ndo tunasubiria miili ya mashujaa kumepabwa vizuri mc anaendelea kuwapa wananchi ratiba
 
tuhabarishe mkuu ili tulio mbali tuweze kufaidi. Je kuna viongozi wa serikali ambao wamekwishafika?
 
watu wamejaa haijawahi kutokea kama unafahamu uwanja wa nmc ulipo.watu wamejaa hadi ilipo bank ya crdb hakuna nafasi watu ndo tunasubiria miili ya mashujaa kumepabwa vizuri mc anaendelea kuwapa wananchi ratiba

tunashukuru mkuu,
tulio mbali na Arusha tunafarijika kusikia hayo
 
watu wamejaa haijawahi kutokea kama unafahamu uwanja wa nmc ulipo.watu wamejaa hadi ilipo bank ya crdb hakuna nafasi watu ndo tunasubiria miili ya mashujaa kumepabwa vizuri mc anaendelea kuwapa wananchi ratiba

Tunashukuru Kev thanks for the feedback
 
watu wamejaa haijawahi kutokea kama unafahamu uwanja wa nmc ulipo.watu wamejaa hadi ilipo bank ya crdb hakuna nafasi watu ndo tunasubiria miili ya mashujaa kumepabwa vizuri mc anaendelea kuwapa wananchi ratiba

Naomba uzidi kutuhabarisha kadri utakavyokuwa unapata yanayoendelea kujiri huko
 
watu wamejaa haijawahi kutokea kama unafahamu uwanja wa nmc ulipo.watu wamejaa hadi ilipo bank ya crdb hakuna nafasi watu ndo tunasubiria miili ya mashujaa kumepabwa vizuri mc anaendelea kuwapa wananchi ratiba

nguvu ya umma inaongea hiyo -aibu kubwa kwa serikali na chama dhalimu ccm walioua hii ni aibu ya mwaka. Endelea kutupa habari mkuu.
 
Ni vigumu kupost picha huku unashiriki na kusisimuka na matukio.

Kwa ujumla utadhani huu mji polisi wote wamehamishwa wakabaki traffic
 
Hamu yangu hasa ni kunukuu kichwani na kuona kimatendo TAMKO RASMI LA CHADEMA kuhusu Unyama wa Polisi 5/1/2011. Mwana JF, Ungekuwa CHADEMA tamko lako lingekuwa lipi?

Ningesema: Mh Rais JK Ajiuzuru kama hataki maandamano ya kumtoa madarakani, IGP mwema ajiuzuru, pia Nahodha ajiuzuru.
 
polisi mpo wapi jamani nmc??? Mbn hatuwaoni??? Leo hamjtumwa??? Au damu mliomwaga inawauma??
 
We do not agree with what police have to say, but we'll defend to the death our right to say it.
 
Back
Top Bottom