Search results

  1. vigilia

    Nimechanganyikiwa na ndoa yangu

    Nakubaliana na wewe.
  2. vigilia

    Wema Sepetu kushiriki Big Brother Africa

    haa haaa haaaaaaaaaaaaa KIFAITA
  3. vigilia

    Morogoro: Wanaume wafupi kuandamana

    Na maandamano ya wanene yanakuja - nchi hii nzuri kweli kwa maandamano. Watu wala hatuendi kufanya kazi ni maandamano kwa kwenda mbele mpaka kieleweke.
  4. vigilia

    Spika Makinda aburuza Bunge; aahirisha Bunge hadi kesho...

    Wanaotia kichefuchefu ni hao wanaozomea.
  5. vigilia

    TBC yauficha uso wa Lulu: Kulikoni

    Wake wenzie
  6. vigilia

    Msaada:Naomba mtu anitengenezee LOGO

    We vipi usaidiwe mwenzio amesoma, amefikiri, ametumia muda wake, then usaidiwe. We kweli mtanzania. Kila kitu mpaka tusaidiwe.
  7. vigilia

    Stand ya mkoa kuhamishiwa tegeta.

    Hili ni tatizo la Watanzania wengi. Huwa hawafuatilii taarifa mbali mbali kwenye vyombo vya habari. Nafikiri jambo hili limekua linatangazwa tangu mwaka jana kwenye vyombo vya habari na sababu ya kufanya hivyo. Hata JK aliwahi kuongelea wakati anaweka jiwe la msingi la mradi wa DART. Sasa...
  8. vigilia

    msaada tafadhali Charter establishing ESAMI

    Kwani kwenye website yao hawana? Limitation huwa zinakuwepo kwenye kesi za madai. Angalia law of limitation wameeleza. Lakini kama sijakosea limitation ni 5 years unless unaomba court leave kama unaweza kuishawishi mahakama kwa nini hukudai kipindi hicho. Hayo mengine muone mwanasheria...
  9. vigilia

    Graduate msio na kazi kafugeni kuku. Mradi huu unalipa sana

    Si kweli. Mimi mwenyewe nimejisomesha kwa kufuga kuku. Naona umeitafsiri hiyo kauli kwa msimamo hasi. Ni kweli kuku kama hawafi na magonjwa wanakutoa .
  10. vigilia

    Law school of Tanzania Mwaka huu ya tia fora

    Kasahau hata madaktari wanakata kichwa badala ya mguu, na engineers wanabomoa gorofa kwa kuanza chini badala ya juu. Hizo ni challenges ambazo ziko katika kila fani. Lakini huwezi sema yaani huoni kabisa umuhimu wa wanasheria. Uhukumiwe kifo halafu mwanasheria akusemee mahakamani ndio...
  11. vigilia

    mmmmmmh........ ya kweli haya? ......

    kwenye avatar yako, hapo v inapoishia/inapoanzia panaitwa ndumandu, nilipokuwa chuo kuna room mate wangu flan alikuwa nayo kubwa hakunaga he hee afu anavaa suruali za kupa-bana zaidi. Alikuwa analalamika sana kuwa kila anaekuja mbele yake lazima amuangalie sana maeneo ya ndumandu. Unanikumbusha...
  12. vigilia

    mmmmmmh........ ya kweli haya? ......

    lugha ya picha smilecious!
  13. vigilia

    Hisia za mapenzi

    jaribu tende + milk
  14. vigilia

    mmmmmmh........ ya kweli haya? ......

    Mambo Tabasamu! No comment but i am in love with your language
  15. vigilia

    Mbadala wa "Viagra" ni juisi ya kokomanga

    yapo kibao labda kama wa kishumundu kisha umekulia..... ROMBO yapo na climate yake ni sawa na ya kishumundu. Askari mwenye SMG hajambo
  16. vigilia

    Interview:kwa cv kama hii nakupa kazi

    we nae kiingereza mayi olo. 'He is real deserve' ndo nn.
  17. vigilia

    Ratiba ya leo ni wapi?

    ya jana ilikuwaje? Labda tuanzie hapo
Back
Top Bottom