Wema Sepetu kushiriki Big Brother Africa

Eti tunachafuliwa.....
Mwacheni mtoto wa watu aishi maisha yake ... afanye yake... mpaka kaingia huko hamjui kuna kufanya mapenzi?
Wabongo bwama
 
Aibu utapata peke yako! Kwanza ulitaka nani atuwakilishe?
 
aibu inaandaliwa kutokea kwa mzee mandela wananchi mkae tayari maana hakutakua na simulizi za mtwara gesi,nape wala zitto zaidi ya uyu devil mistress WEMA kwenda mjengoni kutuwakilisha watanzania takriban 40 milion
Kwa hiyo unataka akatazwe kwenda au..? Ulishaambiwa hawakilishi nchi huko na ndo maana huwa hawakabidhiwi bendera. Hukumsikia Nchimbi wakati ulee..??
 
Usiwe na wasiwasi mkuu, atajiwakilisha yeye na waliomtuma! Serikali ilikwisha jiengua kwenye mambo ya BBA, hatokabidhiwa bendera ya Taifa!
Kwahivi usihofu, haitokuwa aibu yetu. Halafu rekebisha hapo, tuko zaidi ya milioni 40 sasa!
 
U.hi wa bureeereeee huo. BBA kama zilivyo degree, za ngwini haihusiani na Taifa. BBA ni kuuza sehemu nyeti zisizo za siri tena bureereeee bila huruma ya kupata HIV. Madudu matupu BBA.
 
tumeshindwa kuwaanda wanamichezo wa maana kutuwakilisha
kwenye michezo ya aina mbali mbali duniani lakini tunaweza haya...
 
Kutuwakilisha? Nani awakilishwe kwenye ushetani huo? Na aende yeye kama yeye.
 
Lazima wajanja wa south, kenya, nigeria, zimbabwe, uganda as usual, zambia, ghana, cameroon,botswana na kwingineko wakazitafune nyanya za kitanzania mida ya usiku kama kawaida....go wema! By the way mbona uwakilishi wa hili shindano upo bias? sioni nchi kama misri, algeria, moroco, niger, somalia, sudan, na nyingine za ukanda wa kaskazini na kwenye "horn" mwa africa?
 
Hivi wewe kwa akili yako unaona Big Brother Afrika na uwakilishi wa nchi ni jambo la kujivunia kama taifa....acha us...e!
Wewe ndio ms***e kwani hujui kwamba pale kila mzawa wa nchi yake huwakilisha bendera ya taifa lake,acha ujinga wa kurukia mambo na kama hupendi topic muhimu ni kufunfga ubongo wako na ukahamie kwa wale mnaofanana.

Kwanza jiulize ni watu wangapi huangalia kipindi hicho duniani?
Wewe jiulize kwa nini mwisho mwampamba kupokewa kwa shangwe na vifijo pale airport,au yule richard alivyopata ushindi si aliiweka nchi katika ramani ya kimataifa.

AMKA ACHA MATUSI BALI FUNGUA UBONGO.
 
Back
Top Bottom