Search results

  1. Midnight

    Napendekeza rushwa ziongezeke zaidi

    Nature ya watanzania ni ubinafsi na roho mbaya. Nasema uongo ndugu zangu? Kati ya watanzania 10, nane au tisa kabisa wamejawa na wivu, chuki, rohombaya na vijicho. Sasa jitu lenye roho mbaya litaruhusu upate kazi kweli? au upate- connection ya kupiga pesa? Sasa hapo ndipo ninapouona umuhimu...
  2. Midnight

    Tujuzane kuhusu gharama za utalii wa ndani

    Habari wakuu. Aisee mimi Kuna kitu bado sikielewi hasa kuhusu haya masuala ya utalii wa ndani. Unakuta sehemu kiingilio cha serikali ni kidogo tu, tuseme kutembelea kivutio A ni 2000 au 2500 na kadhalika, ambapo sehemu nyingi haizidi 10000 Sasa tatizo linakuja kwa hawa waongoza watalii, Kuna...
  3. Midnight

    Jinsi biashara nyingi Bongo zinavyoanguka ghafla

    Kuna kitu nimekiona miongoni mwetu sisi waswahili, ambacho sio salama kabisa katika kuendesha miradi yetu ya kibiashara. Hii unaweza kuwa ndio sababu kubwa sana ya biashara nyingi kufa kifo cha mende hasa pale zinapoanza kuchangamka tu. Jana nilipita mahali kupata lunch majira ya...
  4. Midnight

    Uzi wa kuandika chochote na kujijibu mwenyewe.

    . Usiombe kukosa pesa, haya maisha unaweza ukajisahau jina.
  5. Midnight

    Ushuhuda: Siku mbili bila kulala, huu mtindo wa kulipana pesa bar naomba uundiwe vikao bungeni

    Nisiwachoshe sana, Sasa ilivyokuwa baada ya wife kutangulia kuhesabiwa, mimi nilipaswa kufuatia nyuma yake kwa maagano ya kumalizia kazi za watu nilizozianza kisha mapema sana tarehe 25 niwe village hata kwa kutumia magari ya magazeti. Nazungumzia kuanzia juzi hiyo!! Sasa bwana huu mtindo wa...
  6. Midnight

    Maeneo gani Dar es salaam watu hawaruhusiwi kupiga picha au kurekodi video?

    Rejea: Kichwa cha habali swali hapo juu. Binafsi nimeona katazo kwenye vivuko vya kigamboni. Ijapokuwa sijui Ni kwanini watu haturuhusiwi kupiga hata picha za mnato mule. Sasa ningependa sana tufahamishane na maeneo mengine yasiyo ruhusiwa kabisa kufanya shughuli hizo kabla na wengine...
  7. Midnight

    Angalizo, Tuwe makini

    Naandika ujumbe huu nikiwa na loss ya Kama 50k+ hivi. Aisee kuna hivi vi-pub ushenzi vimemiminika kila baada ya mlango mmoja wa flem, yaani ni mwendo wa duka la nguo, pub, duka la chakula pub... Hivyo hivyo kwa nguvu ya 5G hadi hatulali na pesa siku hizi. Sasa basi wamiliki wengi wa vi-pub...
  8. Midnight

    Afrika pumbavu

    Nisiwe mnafki sana kuhusu jambo hili, nchi nyingi za kiafrika tunafanana sana Mambo yetu. Yaani unayoyaona hapa nyumbani ndio hayo hayo yapo Burundi, Kenya, Nigeria, South Sudan, Afrika ya kati na hata South Afrika nchi iliyopiga hatua kidogo kwa Afrika. Aisee ni upumbavu kuona et- watu...
  9. Midnight

    Safari yangu ya dhahabu Botswana - Sehemu ya pili

    "Itakuwa furaha Sana kwangu Kama mods mtauacha huu uzi hapa hapa na sio kuunganisha na ule wa sehemu ya kwanza... Natanguliza shukrani kwenu na kazi iendelee kwa pamoja tukiwa Kama Wana jamuhuri wa jamuhuri tukufu ya muungano wa Tanzania, Mungu ibariki Tanzania." Kwanza kabisa napenda...
  10. Midnight

    Mwezi huu nimebahatika kujua maana ya "Tenda wema uende zako"

    Poleni na majukumu ndugu zangu. Ama kwa hakika leo napenda kuwatia moyo wale wote wanaodhani wema unaoza. Pia huu ukiwa ushuuda wangu kwenu mliobahatika kuwa hapa JF. Ukiachana na maovu na mabaya yetu mengi mno lakini katikati yake kuna mema machache mazito mno. Kabla sijasonga mbele kwenye...
  11. Midnight

    Uhuru wa fikra na sanamu za shaba

    Mungu ibariki Afrika. Heshima kwenu ndugu zangu katika Jamii forum, washiriki katika Jamii forum page Facebook, Telegram na search engine zote zenye unapata kuunganishwa na nyuzi zote makini kutoka JF. Kwanza kabisa napenda kuupongeza uongozi wa JF kwa kuleta mabadiliko na elimu pana...
  12. Midnight

    The Pentagon (BCBG)

    Ni saa saba na nusu sasa, wakati hivi leo nyie mmelala sisi bado hatujafikilia hata kurudi nyumbani kujificha . Tafadhali kama mlisema sheria ya kufunga ma-bar mida hii ipo hai chonde chonde nawaomba makamanda wa mama mje mtufulushe huku, maana tunakamuliwa sana, ni bora pulukushani na maafande...
  13. Midnight

    Kwa wanaotaka kujiua, soma hapa ujue namna ya kujizuia

    Pumzika kwa amani ndugu Jonathan, member na mwanachama mkongwe wa JF. Kwa wapenzi wa jukwaa la biashara kule kuna mtu mmoja najua mtamkosa sana, muhimu ni kutambua kuwa sisi ni mapito na duniani tunapita tu. Nawasalimu kwa jina la jamuhuri. Kazi iendelee. Naomba niende moja kwa moja kwenye...
  14. Midnight

    Safari yangu ya dhahabu Botswana

    Kama ilivyo kwa wengine wapenda kusafiri kama mimi, daima tunapenda ku- share some stories na watu wengine ili nao angalau wapate kidogo mwanga wa maisha ya sehemu nyingine za mbali kidogo na nyumbani Tanzania. Miaka kadhaa iliyopita kulikuwa na wimbi kubwa sana la vijana wa kitanzania kutamani...
  15. Midnight

    Jiandae kwa safari.

    Habari. Karibu kusafiri nami. Natumai kipindi cha mpito cha ugeni wangu nacho kitapita kama ilivyokuwa kwa wengine hapa ndani. Natumainia mapokezi mema na miongozo bora toka kwenu wakuu. Kwa shukrani za dhati kabisa ahsanteni.
Back
Top Bottom