Midnight
JF-Expert Member
- Apr 24, 2021
- 229
- 678
Nisiwe mnafki sana kuhusu jambo hili, nchi nyingi za kiafrika tunafanana sana Mambo yetu. Yaani unayoyaona hapa nyumbani ndio hayo hayo yapo Burundi, Kenya, Nigeria, South Sudan, Afrika ya kati na hata South Afrika nchi iliyopiga hatua kidogo kwa Afrika.
Aisee ni upumbavu kuona et- watu maarufu nchini ni wachekeshaji, waimbaji, na wapuuzi puuzi tu wenye kufanya maupuuzi huko mitandaoni na unakuta wanapata wafuatiliaji mamilioni kwa mamilioni, wapumbavu hawa wasio jitambua
Sasa unakuta li-kijana limemaliza chuo alafu linalalamika ajira hakuna huku ukiliuliza unaijua hata jamii forum haijui, hana chochote cha zaidi ya kuwa-follow akina juma lokole na kujua ratiba zote za vipindi vya kipuuzi huko median.
Nimechunguza nikagundua kati ya vijana 10 tisa kati yao hawaitumii JamiiForums, zaidi ya kukutana nayo hewani wakati wakiwa wame-google kitu flani. Yaani kwa maamuzi yao hii App sio kipaumbele .
Kujirekodi na kuweka status za kipuuzi puuzi ndio fashion. Sasa jitu hili utaliajiri kweli? Huko vyuoni ni upuuzi tu, elimu mbovu ubishololo umetamalaki, kutafunana tu hadi tunaogopa kupeleka mabinti zetu.
Snap chat, Facebook, Instagram, na kuangalia YouTube chanells za udaku ndio habari ya mujini na vijijini kuliko pelekwa umeme kwa kodi zetu na majasho yetu. Angalia Sasa ni nini wanaposti na kuweka umo, Ni ujinga ujinga tu wa viwango vya kimataifa.
Kwakweli tusimtafute mchawi wala kumsingizia mkoloni au mabeberu, maana ujinga ndani yetu ukiona nchi watu wake maarufu na role model wa watu ni waigizaji, wachekeshaji, machawa, machangu, na waimbaji wa ovyo ovyo basi ujue hakuna kitu hapo.... Ni mzigo kwa Dunia tu.