Habari zenu wakuu!
Tumezaliwa wanne kwa mama mmoja,baba tofauti.Wavulana wawili,wasichana wawili.Mama amefariki,ameacha pesa na nyumba pamoja na kiwanja.Pesa imegawanywa kwa kufuata sheria za mirathi mahakamani,mvulanammoja na msichana mmoja kati ya watoto hao wametapeliwa na sasa...
Wadau Habari zenu!
Open Areas ambazo ziko chini ya Halmashauri zetu hutumika kama njia ya utorosheaji wa wanyamapori,kuua pasipo taratibu za uwindaji kufuatwa rejea Wilaya za Monduli na Simanjiro.Vile vile kumekuwapo na watendaji wabovu na wapenda rushwa wanaodili (kufanya dili) na waarabu...
Wakuu habari za leo!
Napenda kumjulisha Mh.Waziri wetu wa Maliasili kuwa Open Areas ambazo ziko chini ya Halmashauri zetu hutumika kama njia ya utorosheaji wa wanyamapori,kuua pasipo taratibu za uwindaji kufuatwa rejea Wilaya za Monduli na Simanjiro.Vile vile kumekuwapo na watendaji wabovu na...
House for Sale in Block G, Plot na.1417 Tegeta (Ma site) Kinondoni Municipality DSM
Size:1291M2
Guide Price: Tshs.350,000,000 ( milioni mia tatu na hamsini)
Description: It is very private and attractive site, planned drive ways surrounded by bunglows,maissonate and single storey residential...
Wakuu Heshimu kwenu!
Nimekaa na kutafakari sana kuhusu Azimio la Arusha,ingawa kulikuwa na baadhi ya vipengele ambavyo havikuwa sahihi kwa wakati tulio nao vingeondolewa ila vile vinavyohusu uongozi na utawala bora vingeachwa maana hapa tulipo sasa hali ni mbaya serikalini hasa kwenye masuala...
Nyie semeni tu,ila mnajua ni nini kitatokea kwa viongozi wa ccm mkoa? Maonyo kwa kwenda mbele kwani wamemtia aibu mkuu wa kaya,hawajajipanga kwa kumkaribisha rais
Wakuu heshima kwenu!
Huku mtaani kwetu watu wanajiuliza baada ya CC ya CCM kuridhia na kusukwa upya baraza la mawaziri.
Je,PM Mizengo Pinda atarudishwa na akirudishwa wananchi tutafsiri vipi ilihali ameshindwa kuwasimamia mawaziri waliofuja mali ya umma?
Nawasilisha.
Mkuu huu ni uhalisia wa viongozi wengi wa kiafrika ndani ya mioyo yao.Kama umefuatilia hapa Mombasa kuna kikundi cha watu wanaoaka Mombasa ijitenge,na je Tanzania viongozi si kama wanyama tu ndani ya mioyo yao wasiopenda kufuatilia matatizo ya wananchi wao!
Sasa sikia atakapo kamatwa na kupelekwa mahakamani na kisha hiyo hukumu yake,utafurahi! Wakati wapo waliokwiba mabilioni wanatanua au kuachiwa pasipo kuguswa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.