Mtoto wa mkulima atarudi kwenye baraza jipya tarajiwa?

mchambakwao

Member
Dec 9, 2011
77
14
Wakuu heshima kwenu!
Huku mtaani kwetu watu wanajiuliza baada ya CC ya CCM kuridhia na kusukwa upya baraza la mawaziri.
Je,PM Mizengo Pinda atarudishwa na akirudishwa wananchi tutafsiri vipi ilihali ameshindwa kuwasimamia mawaziri waliofuja mali ya umma?

Nawasilisha.
 
Hizi ndizo athari za kutokujua sheria na katiba, Pinda atawawajibisha mawaziri walioteuliwa na rais kwa kutumia kifungu kipi cha katiba? au kwa sheria gani?
 
huyo atoke! ameushindwa uwaziri mkuu. JK ateue waziri mkuu mwingine tafadhari sana. vinginevyo itakuwa haina maana kubadilisha baraza la mawaziri. Huyu mtoto wa mkulima hawezi! Ameprove mwenyewe beyound reasonable doubt.
 
Hizi ndizo athari za kutokujua sheria na katiba, Pinda atawawajibisha mawaziri walioteuliwa na rais kwa kutumia kifungu kipi cha katiba? au kwa sheria gani?

Usimlaumu huyu jamaa maana hajui anachokiongea! kosa lake ni kutojua sheria na katiba
 
Mtoa uzi unaonekana hujui kabisa sheria wala taratibu za nchi. Kwani Pinda anatatizo gani? Pinda hana tatizo lolote hivyo anastahili kuendelea na nafasi yake...!
 
Mkuu mtoto wa Mkulima tia maji tia maji. Tangia alivyotuahidi kuwa ataongelea mambo yale wakati anafunga Bunge akaishia kuisifia Simba na kugusia kwa mbaaaaali yaliyojiri Bungeni nikaona ohooooo PM wangu vipi tena watu tulikuwa tunasubiri kauli yake tumetoka kapa.Sasa limekuja hili jipya la Rais kukishirikisha chama katika kuvunja baraza, hakika suoni mwanga mbele ya Mtoto wa Mkulima.
 
Ana mpango wa kujivua gamba baada ya kuvunjwa baraza hilo. Roho ngumu ya kun'gan'gania madaraka huwa hana. Usafi wa mtu huzaliwa nao na yeye ni mnyenyekevu wa kuzaliwa.
 
Bora tu Mtoto wa mKulima aendelee maana huo ni mzigo mwingine kwa taifa. JK atakuwa Rais wa kwanza kuwa na mawaziri wakuu watatu tofauti na wote watakuwa mzigo kwa taifa maana mwisho wa siku watajiita wastaafu na hiyo kuhudumiwa na hela za walipa kodi bila manufaa yoyote kwa taifa.

Hata hivyo Rais gani huyu kila baraza kale la mawaziri lina vimeo? au kimeo ni rais mwenyewe?

Kuna haja ya kupiga kura ya kutokuwa na imani na Rais this time.
 
Pinda ndiye waziri mkuu hovyo kabisa ambaye Tanganyika(sasa Tanzania) imewahi kupata toka Wajeremani walivyoondoka..,Sasa arudishwe tena?
 
Sawa sijui sheria,sheria inasemaje ktk hili? Ndio tatizo la watz badala ya kutoa njia au solution wanaishia kulaumu tu.
 
Pinda hana mamlaka ya kumwondoa au kumwajibisha mteule wa rais.
Lakini alitakiwa kufanya jambo la ziada kuonyesha kwamba amekereka na ujambazi uliofanywa na mawaziri, ikibidi hata kujiuzulu kwa manufaa ya umma.
Pinda is the ever bogest PM I have ever seen.
Atleast Lowassa alikuwa na sauti.
Kuwa PM asiye na maamuzi inasaidia nini? Sijaona tofauti ya Pinda na Lukuvi.
Ni heri ya EL kuliko huyu ambaye yupo yupo ka,a mzigo tu.
Hizi ndizo athari za kutokujua sheria na katiba, Pinda atawawajibisha mawaziri walioteuliwa na rais kwa kutumia kifungu kipi cha katiba? au kwa sheria gani?
 
huyo atoke! ameushindwa uwaziri mkuu. JK ateue waziri mkuu mwingine tafadhari sana. vinginevyo itakuwa haina maana kubadilisha baraza la mawaziri. Huyu mtoto wa mkulima hawezi! Ameprove mwenyewe beyound reasonable doubt.

Tabu ni pale unapolaumu kile usichokijua. Pinda hana tatizo lolote tena ni mchapa kazi kwelikweli, lakini yuko chini ya mtu ambaye ndiye final say kwa lolote. Kikatiba na Kisheria PM hana madaraka ya kumsimamisha kazi au kumfukuza waziri yeyote, bali kutoa ushauri kwa final say (Rais). Final say akikataa ushauri PM hana la kufanya zaidi ya hapo.
 
Hizi ndizo athari za kutokujua sheria na katiba, Pinda atawawajibisha mawaziri walioteuliwa na rais kwa kutumia kifungu kipi cha katiba? au kwa sheria gani?

kwani huyu mleta uzi amesema Pinda ameshindwa kuwawajibisha mawaziri au ameshindwa kuwasimamia?
 
Bora tu Mtoto wa mKulima aendelee maana huo ni mzigo mwingine kwa taifa. JK atakuwa Rais wa kwanza kuwa na mawaziri wakuu watatu tofauti na wote watakuwa mzigo kwa taifa maana mwisho wa siku watajiita wastaafu na hiyo kuhudumiwa na hela za walipa kodi bila manufaa yoyote kwa taifa.

Hata hivyo Rais gani huyu kila baraza kale la mawaziri lina vimeo? au kimeo ni rais mwenyewe?

Kuna haja ya kupiga kura ya kutokuwa na imani na Rais this time.

we utakuwa Muongo au mjinga! Jk sio Rais wa kwanza kuwa na PM watatu ngoja nikufundishe mwl nyerere alikuwa na Kawawa,salim,sokoine. Mwinyi alikuwa na Warioba,malecela,cleopa David msuya, sasa thibitisha ama uongo wako au ujinga wako maana nmekupa scientific evidence!
 
Mimi nina hamu na ile wizara ya kukamata na kusafirisha TWIGA, ahaaaaaah!!! Sisiem hyoooo kwisha habari.
 
Huyu kazi inayomfaa ni hii hapa wala siyo huo U PM!Tatizo letu tunashindwa kugundua vipaji vya watu mapema!

IMG_9046.jpg
 
wakuu heshima kwenu!
Huku mtaani kwetu watu wanajiuliza baada ya cc ya ccm kuridhia na kusukwa upya baraza la mawaziri.
Je,pm mizengo pinda atarudishwa na akirudishwa wananchi tutafsiri vipi ilihali ameshindwa kuwasimamia mawaziri waliofuja mali ya umma?

Nawasilisha.
amedhalishwa kiasi cha kutosha kama ana akili timaamu asikubali tena nafasi hiyo.
 
Back
Top Bottom