Kama serikali ipo serious na biashara huria,basi ilikuwa ni wakati mwafaka kujadiliana na Fastjet ili warudi kuendelea na biashara yao ya usafirishaji nchini.
Jamaa walikuwa smart sana na waliliteka soko vizuri sana. Bei zao affordable, na walizingatia muda kweli kweli.
Mambo ya serikali...
Bei juu ya mafuta na bidhaa zingine nchini,na kupanda Kwa gharama ya maisha Kwa ujumla,ni anguko litarajiwalo Kwa chama tawala na serikali yake.
Haiwezekani lawama zitokanazo na ugumu wa maisha zitamalaki kila mahali katika jamii,na bado ukashinda uchaguzi wa kisiasa kihalali.Haiwezekani...
Lawama Kwa Magufuli ni nyingi Sana miongoni mwa watu wakiwamo viongozi. Uozo mbalimbali uliofanyika kipindi kile, unafumuliwa kila siku. Ni vizuri sasa wale wote waliofanya kazi Kwa karibu na Magufuli wabebe sehemu ya lawama za utawala wa awamu ya 5.
Hivi Kwa mfano Baraza la mawaziri lilikuwepo...
Niko hapa nasikiliza michango ya baadhi ya wabunge wetu wakisisitiza kuwa wanaojitolea wapewe kipaumbele katika ajira.
Ikumbukwe kuwa ajira za wazi na ukweli zilikoma zaidi ya miaka 7 sasa,unaposhawishi watu kujitolea Kwa muda mrefu kiasi hicho unategemea wanaishije?
Yaani mtu akae anajitolea...
Naombeni anaelijua andiko linalokataza wakristo kula nyama siku ya Ijumaa kuu.
Najua ni suala la kiimani, lakini msingi wa Imani ya kikristo ni Biblia, hivyo tujuzane hilo andiko liko kitabu gani ndani ya Biblia.
Watumishi hawa wanaporudi mtaani huko,wanakutana tena na amri ya wenyeviti wa mitaa na maelekezo ya kwenda kwenye shughuli za maendeleo za sijui kuchimba mitaro,ujenzi wa sekondari na hivyo vituo vya afya.
Ikumbukwe kuwa huyu mtumishi katoa Sana Kodi Kwa nchi hii inayokatwa katika mshahara...
Chama kinashindwa kusema wazi kuwa ndani ya miaka 6 iliyopita,kulikuwa hakuna demokrasia ndani ya chama,na haki ilipotea kabisa.
Kusema ukweli ilikuwa kosa kumkosoa mwenyekiti,na mengine yafananayo na hayo,ndiyo yaliyomgharimu Membe.Sasa kosa haramu lililomfukuzisha uanachama,ambalo kwalo...
Ukifuatilia suala la Mbowe tangu akamatwe na kufunguliwa kesi mahakamani,kumekuwa na lawama nyingi Sana Kwa serikali yetu na hasa juu ya utendaji kazi wa jeshi letu la polisi.
Kitendo cha maofisa wa balozi za nje kuhudhuria mahakamani kufuatilia kesi ya Mbowe,ilikuwa ni kiashiria kibaya sana Kwa...
Msaada kwenu wataalam,najiridhishaje kuwa Gari ninayoendesha ni AWD?
Maana unakuta mafundi wanakwambia tu kuwa hiyo Gari siyo rahisi kukwama huko vijijini maana ni AWD. Lakini nitafanya nini ili nijiridhishe?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
King'amuzi cha Azam TV mnafeli Wakati wa mawingu. Sijafuatilia kuhusu vinang'amuzi vingine kipindi cha Mawingu na mvua inakuweje.Lakini Azam TV pamoja na kuwa na vipindi vizuri lakini hiyo kero ya scratching imezidi Sana.
Msaada kwenu wakuu, ukiweka D inakwenda bila shida, lakini kama ukiengage R Gari inakuwa kama inakata mafuta na kisha inazima.
Hii kero inasababishwa na nini?
Ukisikiliza kinachoongelewa juu ya mikopo ya nchi Kwa sasa,unagundua kuwa serikali ilianzisha miradi mikubwa kama SGR,Kwa fedha ambazo hazikuwepo.
Yaani ina maana serikali ilitegemea itakopa ili kukamilisha hiyo miradi?
Walijuaje kuwa wataupata huo mkopo?Ina maana walikuwa tayari kuja...
Ukitembelea vituo mbalimbali vya kutolea huduma za afya nchini utakutana na mambo makubwa mawili. Kwanza ni mlundikano wa wagonjwa,na pili ni uhaba wa madawa na vifaa tiba.
Zaidi ya robo tatu ya hao wagonjwa, ni Yale yanayozuilika. Hapo ni hakuna elimu yoyote ya maana ambayo ingesaidia...
Kila kona waelewa wote wanataka iwepo tume huru ya uchaguzi, yamesemwa hata na wana CCM wakongwe na wenye heshima zao ndani ya nchi.
Kuna wakati hata Rais wetu alikemea mambo fulani yaliyofanywa na tume, kuwa yasijirudie katika chaguzi zijazo Kwa kuwa hayana mashiko.
Sasa hivi kuna kikosi kazi...
Bila kupepesa macho,na bila kuhangaika na itikadi za vyama,na pia ukiachana na uchambuzi wa kitaalamu,awamu ya Mzee Mwinyi na awamu ya kikwete,ndizo awamu ambazo mwananchi wa kawaida alifurahia maisha.
Pamoja na mapungufu ya kiutawala yanayoongelewa katika awamu hizo,lakini pesa ilipatikana...
Kuna sinema ilikuwa inarushwa Azam TV sinema zetu ikijulikana Kwa jina la Shilingi.Ilikatishwa ghafla ikiwa katikati ya utamu.Nisaidieni namna ya kuipata full movie
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Ukimsikiliza huyu bwana pole pole,na ukiangalia hata body language yake,hakika unaweza kusema huyu bwana kuna kitu anatamani kusema lakini aidha dhamira inamsuta,au bado Hana hakika na kitakachomsibu baada ya hapo.
Wakati ule akihudumu kama katibu mwenezi wa chama tawala,chama ambacho mwenyekiti...
Kauli ya Zitto Kwa Rais juu ya kumsamehe mwenzao ambae hakuwepo mkutanoni Kwa changamoto za kisheria,ni kauli ya kiutu inayolenga pia kujenga mshikamano wa Amani Kwa sasa na siku zijazo.
Lakini wengine wanajiuliza kwamba Zitto Kwa nafasi yake, angeweza kuonana na Rais huko Ikulu na kumwomba juu...
Mtumishi kabla ya tarehe ya kustaafu,anaambiwa apeleke nyaraka na vielelezo mbalimbali miezi 6 kabla ya tarehe ya kustaafu, lakini urasimu wa mafao upo pale pale,kuna tatizo gani? Au ndiyo kufanya kazi Kwa mazoea? Iko wapi maana ya kuwahisha nyaraka mapema? Miezi inafika zaidi ya mitano mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.