Ntozi
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 226
- 299
Watumishi hawa wanaporudi mtaani huko,wanakutana tena na amri ya wenyeviti wa mitaa na maelekezo ya kwenda kwenye shughuli za maendeleo za sijui kuchimba mitaro,ujenzi wa sekondari na hivyo vituo vya afya.
Ikumbukwe kuwa huyu mtumishi katoa Sana Kodi Kwa nchi hii inayokatwa katika mshahara wake.Na anapostaafu kazi serikalini,ni Kwa ajili ya kupumzika Kwa maisha yake yaliyosalia.sasa haya mambo ya kupelekeshana tena, eti kazi za maendeleo,naona haijakaa Sawa.
Serikali ingetoa maelekezo ya kuwaacha hawa watu wasipelekeshwe kwenye mikazi mingine huko.Hawa ni wa kuombwa kama ana chochote atachangia,kama Hana asilazimishwe.
Waacheni wastaafu wapumzike