Search results

  1. BJBM

    Hii nyimbo ya dini inaitwaje?!

    Salamu wanajukwaa! Natafuta jina la wimbo unaoanza dakika ya 0:07
  2. BJBM

    Msaada: Internet ya 4G ya mtandao upi ipo vizuri ktk moderm?

    Habari wakuu, Napenda niende moja kwa moja ktk mada husika kama inavyojieleza hapo juu. Nataka niingie ktk internet ya 4G kupitia moderm lkn nina upeo mdogo ktk kujua mtandao gani utanifaa. Vigezo vyangu nahitaji mtandao wenye unafuu wa bundle na speed nzuri ya kudownload, napatikana maeneo ya...
  3. BJBM

    Anaumbuka mtu mbele ya wakijiji

    Padre mmoja mzee alistaafu na wanaparokia walimfanyia sherehe kubwa ya kumuaga. Katika sherehe hiyo, mbunge wa eneo hilo alipangwa kutoa hotuba ya shukurani ya kumuaga padri huyo kwa niaba ya wanaparokia wote. Bahati mbaya, mbunge alichelewa kufika .... Mc akamwomba padri aseme machache wakati...
  4. BJBM

    Mwenye kujua tofauti ya mfanyabiashara na mjasiriamali.

    Habari zenu wakuu. Natumai nyote ni wazima. Kama mada tajwa hapo juu inavyojieleza, ningependa kujua tofauti kati ya watu hao wawili kwani nimekuwa nikipata shida sana katika kutofautisha kati ya mjasiriamali na mfanyabiashara. Uzi huu nimeufungulia jukwaa hili nikiamini ntapewa majibu kwa...
Back
Top Bottom