Search results

  1. N

    Natafuta partner wa biashara, mtaji ni mdogo tu

    Biashara inahusika na sherehe na events mbalimbali, partner wa biashara awe na sifa zifuatazo. Uwezo wa kumanage watu na kuratibu, uwezo wa kutafuta masoko, awe mchapakazi, shughuli nyingi zitakuwa zinafanyika
  2. N

    Lumia 520 imejilock

    Simu lumia 520 imejilock imejaribiwa hard reset imeshindika , sasa inasema kuna dakika 22000 mpaka ijiunlock. Je kuna njia nyingine ya kutatua tatizo hili
  3. N

    Brochure @400 Tshs

    Naprint brochure kwa tsh 400. Nipigie 0714890018 nipo Dar es salaam.
  4. N

    Playstation 2 inauzwa

    bei ni 160000, ina pad 2 na cd, nzima inafanya kazi .0714890018
  5. N

    Nyumba inapangishwa Tegeta

    Nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili, jiko ,choo na sebule ,ipo kwenye uzio, bei ni 350000tsh. Ipo tegeta masaiti mbele kituo cha mabasi ya nyuki. 0714890018 tunaweza wasiliana,
  6. N

    Kazi/ biashara ya pamoja

    Kwa yeyote anayehitaji kufanya biashara pamoja nami inayohusu elimu awe na laptop namkaribisha tufanye pamoja .Biashara iko vizuri kwa kiasi chake kama unabidii na kujituma unaweza pata si chini ya laki moja na nusu ndani ya wiki . Kigezo kikubwa ni uwe na laptop au tablet , uwe na uwezo mzuri...
  7. N

    nimekwama Adobe Master collection cs5

    nimeinstall upya windows kwenye laptop window 7 bit 64 , sasa kila nikiinstall adobe master collection haimalizi na inasema ' please insert disk adobemastercollection5-trial-english to continue' . Nimekwamia hapo , msaada jinsi ya kuweza kuinstall software hiyo.
  8. N

    Nahitaji nyama ya punda

    Habari. Kunahitajika nyama ya punda kwa ajili ya export .Sasa nahitaji information nitapata wapi hizo nyama za punda na utaratibu wote wa kisheria unaohitajika kuanzia kuchinja na kusafirisha. Mwenye taarifa anisaidie ni kitu serious kabisa.
  9. N

    Kamata fursa

    Audio cd za hotuba ya ufunguzi wa bunge la katiba la tarehe 21/3 , ipo tayari kwa anayehitaji kwa jumla ani pm , anipe idadi anayohitaji. Kuna watu wengi ambao hawakuisikia na wengine wanaohitaji kwa kumbukumbu ya tukio hili la kihistoria. Kamata fursa hiyo
  10. N

    Sabuni za magadi au mawingu

    Mimi ni mjasiriamali mdogo wa kutengeneza sabuni za mawingu au magadi za kigoma. Nimetengeneza sabuni nyingi na sasa natafuta soko kwa anayehitaji kwa matumizi ya nyumbani au hata kuuza dukani kwake. Sabuni ni nzuri kwa kuogea, kufulia na kuoshea vyombo. Bei ya rejareja mche mmoja ni...
  11. N

    mtaji wa biashara ( Tshs 400,000/- )

    habarini . Nahitaji kiasi cha laki nne (400,000) . kwa ajili ya kuongezea kufikia mtaji ambao utaweza kuanzishia biashara ninayohitaji kuifanya hivyo basi ,nina photocopy mashine (canon NP1215) ambayo naiuza na lengo ni kufikia mtaji ambao imebakia laki nne ili niweze kuanzisha biashara hiyo ...
  12. N

    photo copy mashine inauzwa

    Photocopy mashine canon NP1215, inauzwa laki nne tu ( 400,000) , mashine ipo dar es salaam . inahitaji service kidogo tu . kwa anayehitaji anitafute 0714890018
  13. N

    windows xp service park 1

    nina computer yangu hapa dell optiplex sx270 , inakataa kuinstall windows xp aina nyingine zaidi ya service park 1 ,mwenye nayo anisaidi, au anayejua nitakavyoweza solve hilo tatizo anisaidie sasa hivi haiwaki windows inaishia kwenye black screen tu
  14. N

    Dar Es Salaam Stand Up

    habari kwa anayehitaji flashdisk kwa bei nafuu 8Gb-15,000/- na 4Gb-10,000/- , aina ni ADATA , sio product ya kichina ni imara . nakupa 1yr guarantee ikiharibika. nicheki 0714890018 .hiyo hapo juu ni Group Facebook unaweza nicheki huko pia
  15. N

    flash disk kwa bei nafuu

    anayehitaji flashdisk mpya (ADATA DashDrive-) 4Gb 10,000/- 8Gb - 15,000/- anicheki kwa namba 0714890018
  16. N

    flash disk bei chee

    anayehitaji flash disk mpya 4gb- 10,000/- 8gb- 15,000/- ani pm kwa watu wa dar
  17. N

    Nahitaji kujaza wino wa printer

    wadau ni wapi naweza jaza wino catridge za hp printer kwa bei nafuu hapa dar es salaam
  18. N

    location ya kipindi cha television

    habarini wadau , tunatafuta location nzuri kwa ajili ya kipindi cha mahojiano ya television, tutaonyesha eneo husika, eneo liwe ni zuri kwa ajili ya burudani, exciting , entertainment au kitu chochote kile ambacho ni kizuri kwa kuona, kutalii, kustarehe, urembo au kitu chochote kizuri amacho mtu...
  19. N

    Dawa ya kuua mbu

    Dah jamani mwenye kujua hiyo dawa ya kupulizia na kuua mbu anisaidie maana hapa home ikifika jioni ni balaa tupu, nahitaji zile za kupulizia nje ya nyumba na ndani kwenye eneo kubwa mtambo ule wa kupulizia ninao sema dawa tu ndio sijui. Maana mbu wa nyumba hii ukiamka hadi kwenye vyandarua vya...
  20. N

    wadau wa volleyball

    kwa wale wenye timu za volleyball itakuwa poa kaama tukialikana kwa ajili ya mashindano itakuwa poa sana maana tutakuza mchezo.mimi nachezea timu moja ipo tegeta dar. sio mbaya tukiorganise mechi ya kirafiki kwa wale wenye timu
Back
Top Bottom