location ya kipindi cha television

najua

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
224
54
habarini wadau , tunatafuta location nzuri kwa ajili ya kipindi cha mahojiano ya television, tutaonyesha eneo husika, eneo liwe ni zuri kwa ajili ya burudani, exciting , entertainment au kitu chochote kile ambacho ni kizuri kwa kuona, kutalii, kustarehe, urembo au kitu chochote kizuri amacho mtu atafurahia. liwe ni ndani ya dar es salaam . mwenye uwezo/anayehitaji , ani pm , hakuna malipo yoyote yatakayohusika.
 
Ni mm tu ambaye sijaelewa au! Huko juu ktk maelezo yako unamaanisha unatafuta, hapo chini una maliza kwa kusema mwenye uwezo/ anaye hitaji aku PM! Naomba uniweke sawa kwa hilo mkuu.
 
Back
Top Bottom