Search results

  1. Langu

    Wadau naomba msaada kwenye application za kazi TRA

    Hellow mkuu, pole kwa usumbufu ulioupata, tarehe ndio hizo hizo unazozijua wewe, ila tatizo ni moja tu linatokea ndio maana wanakwambia umekosea, fatilia kwa makini. Kwenye sehemu ya kuandika tarehe na mwaka, kuna kibox wameweka kalenda yao ikionyesha tarehe mwezi na mwaka, hivyo ni automatic...
  2. Langu

    Part IV: uko wapi rafiki? kuna cha kujifunza hapa!

    Naona tiyari wameshaishughulikia cc: slim5
  3. Langu

    Nahitaji kujua chuo chochote cha kozi fupi ya interior design kwa Mwanza au Dar

    Hellow wana JF, hope wazima. Nahitaji kachukua course ya interior designer. Kwa sasa hivi niko Dar es salaam na ningependelea chuo nikupate Mwanza ila sikijui hata kimoja, lakini kama ntakusa Mwanza hata Dar ntasoma. Hivyo wapendwa kwa anaekijua a nijulishe ntashukuru.
  4. Langu

    Jamani mwenzenu nimesota mtaani hadi basi!!!

    Mtoa mada habari yako? Umeshaangalia tena selection za walimu, maana zimetoka. Kama bado nakushauri fungua huu uzi utakusaidia kujua kama umechaguliwa au laa mkuu. Ajira mpya za walimu awamu ya pili hizi hapaFungua link ya pili inayoonekana ya kwanza kama haijakaa vizuri. Kila la kheri
  5. Langu

    Anahitaji msaada wa kimatibabu

    Mwenyezi mungu mponya wa yote awe tabibu mkuu na apone.
  6. Langu

    Soma hii case upate changamoto, unaweza toa maamuzi yako pia wewe kama wewe

    CASE OF SPELUNCEAN EXPLORERS The case is based on a statute N.C.S.A (N.S.) which states in specific terms in Section 12-A that ‘Whoever Lawfully Takes The Life Of Another Shall Be Punished By Death.' The facts of the case are as follows: The four defendants and Roger Whetmore were...
  7. Langu

    Tatizo la Muwasho Sehemu za Siri: Chanzo, Matibabu na Namna ya Kujikinga

    Soma hapa ni ushauri tosha na utekeleze Ugonjwa wa kuwashwa uume kwa ndani
  8. Langu

    Serikali ya Kenya kuhalalisha madaya ya kulevya unashauri nini?

    Umenena vizuri mkuu kwakweli, kufanya hivi ni janga tena sio kwao tu na kwetu Tz pia. cc: Kijana Style
  9. Langu

    Serikali ya Kenya kuhalalisha madaya ya kulevya unashauri nini?

    Serious tuingie ubia? Tutaisha aisee cc: Pdidy
  10. Langu

    Serikali ya Kenya kuhalalisha madaya ya kulevya unashauri nini?

    Habari za usiku huu wapendwa, natumaini mnaendelea vizuri kabisa. Swali langu ni dhidi ya Kenya kutaka kuhalalisha matumizi ya madawa ya kulevya unalionaje hili mdau? Hii imetokana na kuwa udhibiti umekuwa mgumu, hivyo wanapendekeza madawa ya kulevya yawe halali. Hii nimesikia BBC...
  11. Langu

    Je, huyu anaweza akapata dhamana/bail

    Anaweza kupata bail, maana hawezi kunyimwa kwa kigezo cha kosa lake la murder la nyuma, ila kama alifungwa kwa kosa lolote kwa miaka kadhaa ndo hawezi kupewa. Unaweza kuangalia kifungu namba 148(5) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (Crimal Procedure Act ya Tanzania. cc: Unkwn
  12. Langu

    Nahitaji kuanzisha biashara hii naomba ushauri ndugu

    Habari za leo wana JF, na wanajamvi wa jukwaa hili kwa ujumla, natumaini nyote mu wazima wa afya na kama kuna mgonjwa na mwenye matatizo mbali mbali basi mwenyezi mungu amsaidie. Napenda kuwashirikisha hiki kitu na nina matumaini nitapata ushauri mzuri kutoka kwenu na utakao weza kunijenga kwa...
  13. Langu

    Msaada, Mgao Wa Mali Endapo Wanandoa Wametalakiana?

    Kama mmeishi kuanzia miaka miwili na kuendelea japo hamna ndoa, na watu wakaichukulia hiyo kama ndoa kwa waliokuwa wakiwaona, hii italeta dhanio la kisheria kuwa hiyo ni ndoa, naomba nieleweke si ndoa, ni dhanio tu kuwa ni ndoa lengo kubwa ni pamoja na, Kama kuna watoto mmezaa pamoja, wapate...
  14. Langu

    Ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B): Dalili, ushauri wa kinga na tiba yake

    Mkuu unaweza ukasoma hapa kama aweza kuwa msaada kweli. Chukua taadhali kwanza na ujiakikishie kama ni kweli lakini, pole. https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/665262-kwa-wale-mnaosumbuliwa-na-ugonjwa-wa-ini.html
  15. Langu

    Kusign bila kuielewa document

    Soma hapa ndugu uenda ukatoka na kitu na usipoelewa tuulizane na tujadili Documents Mistakenly Signed Question: What is the plea of non est factum? Answer: LORD REID The plea of non est factum obviously applies when the person sought to be held liable did not in...
  16. Langu

    Msaada, Mgao Wa Mali Endapo Wanandoa Wametalakiana?

    Kama sijakosea ni kesi ya Bi Hawa mdau cc: Mphamvu
  17. Langu

    Kesi ya Donoghue V. Stevenson na uhalisia wake

    Wadau huko tulishatoka zamani, tunasubili law school, na kwa mdau aliyeshauri kuhusu law of negligence i concur with you, japo hatujapishana maana naongelea tort of negligence, hivyo hata nikichukua kitabu cha tort... siwezi kosa negligence na hii case mama kwenye tort ya aina hiyo ndio...
  18. Langu

    Soma hapa inaweza kukusaidia kuondoka na kitu kichwani mwako

    Amen, mwenyezi mungu ampe uzima na amponyeshe
  19. Langu

    Kesi ya Donoghue V. Stevenson na uhalisia wake

    No sio assignment, na ingekuwa assignment no need kuileta hapa, instead ningegoogle na vitabu pia vya Law of tort ni vingi kupatia references.Tuna ujuzi ila kila mtu anaelewa tofauti mkuu so your contribution over this itasaidia kwangu na kwa wengi pia. Thanks
Back
Top Bottom