SHADRACK LUTOBECK
Senior Member
- Sep 29, 2013
- 129
- 18
Hayo ni mawazo yako mkuu.Usizani kile unachowaza wewe na mwingine atawaza hivyo.Magonjwa ni mengisana yanayowasumbua watu,sizani kama yote yanaweza yakatibika bule kama we unavyozani,pia sizani hiyo kauli uliyoitamka kama ikosawa!!maana haiwezekani mtu akakuandalia dawa na kukutumia bule hapo sijakupata.Jipange mkuu naona umekurupuka we umetibiwa bure mara ngapi hadisasa?!!.au unatafuta umaarufu kupitia jina la mtu mwingine!! acha kuwa bendera topic kama haikuhusu unapita tu wenye matatzo ni wengi acha mzaha.