Je, huyu anaweza akapata dhamana/bail

Unkwn

Member
Feb 20, 2012
36
3
Mtu anapokuwa amefunguliwa kesi ya murder highcourt akawa aquited, halafu baadae akacommit theft nakushtakiwa district court .

Je hakimu ana uwezo wakumnyima bail kwasababu alifawahi shitakiwa kwakosa la murder nakushtakiwa high court?

Please waheshimiwa naomba mnisaidie majibu.
 
Anaweza kupata bail. Hiyo kesi ya zamani haina uhusiano na kesi yake ya sasa.
 
Anaweza kupata bail, maana hawezi kunyimwa kwa kigezo cha kosa lake la murder la nyuma, ila kama alifungwa kwa kosa lolote kwa miaka kadhaa ndo hawezi kupewa.

Unaweza kuangalia kifungu namba 148(5) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (Crimal Procedure Act ya Tanzania.

cc: Unkwn
 
Last edited by a moderator:

Nashukuru sana mheshimiwa
 
Last edited by a moderator:
Mtu anapokuwa amefunguliwa kesi ya murder highcourt akawa aquited, halafu baadae akacommit theft nakushtakiwa district court .

Je hakimu ana uwezo wakumnyima bail kwasababu alifawahi shitakiwa kwakosa la murder nakushtakiwa high court?

Please waheshimiwa naomba mnisaidie majibu.

haa haa watoto wa IJA bhana
 
haa haa watoto wa IJA na timed test
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom