Langu
Member
- Nov 20, 2011
- 37
- 9
Habari za usiku huu wapendwa, natumaini mnaendelea vizuri kabisa.
Swali langu ni dhidi ya Kenya kutaka kuhalalisha matumizi ya madawa ya kulevya unalionaje hili mdau?
Hii imetokana na kuwa udhibiti umekuwa mgumu, hivyo wanapendekeza madawa ya kulevya yawe halali.
Hii nimesikia BBC Swahili mda si mrefu hapa Star TV.
Unaonaje kuhusu ili na wananchi wa Kenya na Nchi za jirani endapo sheria ikipitishwa na kuhalalisha ili suala upande wa athari na umuhimu wake?
Kiukweli sioni kama itafaa zaidi ya kuangamiza nguvu kazi kwakweli.