Search results

  1. U

    Hii ni "typing error" au kiswahili kigumu?

    'kamati maafa kahama yasusua'
  2. U

    CML-chronic myeloid leukaemia

    Habari wakuu!!! Ninaomba mtu yeyote aliyewahi kuugua CML-chronic myeloid leukaemia au anaumwa ugonjwa huu au kama unamfahamu mtu yeyote mwenye hili tatizo uni PM Mpaka sasa nimejitaidi kupata idadi ya watu wasio pungua 30 ila naomba kama kuna mwingine usisite kuwasiliana na mimi.. Dhumuni ni...
  3. U

    Bugando hospitali hakuna maji

    Hapa bugando hakuna huduma ya mahabara kwa sababu hakuna maji....kwa hiyo kama kuna mtu anahitaji hudama ya maahabara hapa Bugando asije leo labda aje kesho.......
  4. U

    Kwa wale tunao penda 24 Hours >>>Time runs out for 24 the movie <<<<<

    Salamu kwa wote!!! Inasemekana kuwa project ya 24 Hours imekufa ("project is now dead in the water.") taarifa zaidi Bofya hapa au soma maelezo hapo chini!!! Time runs out for 24 the movie Antoine Fuqua, who was slated to direct the film of the hit TV show about spy Jack Bauer, claims it is...
  5. U

    Kwa wale tunao penda 24 Hours >>>Time runs out for 24 the movie <<<<<

    Salamu kwa wote!!! inasemekana kuwa project ya 24 Hours imekufa ("project is now dead in the water.") taarifa zaidi Bofya hapa au soma maelezo hapo chini!!! Time runs out for 24 the movie Antoine Fuqua, who was slated to direct the film of the hit TV show about spy Jack Bauer, claims it is...
  6. U

    harufu ndani ya basi

    Habari za asubuhi wadau nipo singida nimepanda najmunisa naelekea dar.. Kwenye hili basi nimekutana na harufu ya ajabu haieleweki. Mwenye kujua chanzo cha harufu ndani ya basi naomba anijuze.
  7. U

    pia mtoto wako anaweza kuimba!!!

    wazazi tuwawezeshe watoto wanaweza bonyeza baby1 au baby2 uone wanavyoimbaa!!! baby1 baby2
  8. U

    Mnyika na Mkutano wa mtandao kutoa maoni juu ya SSRA na NSSF

    Habari za j2 wadau Kutoka kwa John Mnyika>>>>>....Leo saa saba hadi tisa alasiri,mkutano wa mtandaoni kutoa maoni juu ya suala la SSRA na NSSF! Mjadala utakuwa ktk: mnyika.blogspot.com! Mnyika: Nalazimika kukusanya maoni kwa hatua ya sasa kupitia njia ya mtandao kutokana na udharula wa hoja...
  9. U

    Maoni ya John Mnyika juu ya Kuvunjwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini

    Kuvunjwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini.Maoni yangu kama Waziri Kivuli wa Nishati na Madini na mbunge: JOHN MNYIKA: Kufuatia uamuzi wa Spika wa Bunge jana jumamosi tarehe 28 Julai 2012 kukubali kuvunja Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini nimetakiwa kutoa maoni yangu...
  10. U

    kwa waliowahi kugua ugonjwa huu.....

    wakuu!!! Ninaomba kama unamjua mtu yoyote ambaye unamfahamu anaumwa/aliwai kuugua Chronic Myeloid Leukemia (CML) anitafute kwa email:shekywasheky@hotmail.com au uni PM humu kwenye JF Dhumuni ni kuanzisha Patients Support Group" hapa kwetu Tanzania...this will help us to: share information...
  11. U

    Chronic Myeloid Leukemia

    Habari.. Wanajamvi je kuna mtu yoyote unayemfahamu anatatizo au alikuwa na tatizo la Chronic Myeloid Leukemia? Naomba uwasiliane na mimi kwa email:shekywasheky@hotmail.com
  12. U

    Sakata la madaktari

    Kwa habari za harakaharaka za kuvunjikavunjika inasemekana................ Kikao kilichoisha muda huu cha speshalist na kosaltants wa muhumbili/moi na muhas kimefikia maamuzi ya kusitisha huduma zote including imejensi infact hospital imeamuliwa ifungwe kamati pia itakutana leo na viongozi wa...
Back
Top Bottom