harufu ndani ya basi

ukweli2

Member
Nov 18, 2011
66
52
Habari za asubuhi wadau
nipo singida nimepanda najmunisa naelekea dar..
Kwenye hili basi nimekutana na harufu ya ajabu haieleweki.
Mwenye kujua chanzo cha harufu ndani ya basi naomba anijuze.
 
Kulikuwepo na Fuko mmoja yuko langoni mwa shimo wakati Fuko mwingine yuko chini shimoni.........mara Fuko aliyeko langoni akasikia vishindo vinakaribia eneo karibu na lango la shimo......akakimbilia ndani kumfuata Fuko aliyeko chini kumuuliza huko/kule juu kuna vishindo ni vya akina nani!.............
 
Yale yale wa mwanaume yuko nje analima mkewe yuko ndani anapika mara mlio wa risasi unasikika kwa nje then mwanaume anakimbia ndani na anafunga mlango halafu anamuuliza mkwewe
"Nani kafyatua Risasi?"
 
Kulikuwepo na Fuko mmoja yuko langoni mwa shimo wakati Fuko mwingine yuko chini shimoni.........mara Fuko aliyeko langoni akasikia vishindo vinakaribia eneo karibu na lango la shimo......akakimbilia ndani kumfuata Fuko aliyeko chini kumuuliza huko/kule juu kuna vishindo ni vya akina nani!.............

fuko yule aliyekuwa nje, alipoingia ndani tu akamkuta tayari kesha kufa na ameoza. yote hayo ni ndani ya dk. tano tu. kwa hiyo ni harufu ya fuko aliyeoza.
 
Habari za asubuhi wadaunipo singida nimepanda najmunisa naelekea dar..Kwenye hili basi nimekutana na harufu ya ajabu haieleweki.Mwenye kujua chanzo cha harufu ndani ya basi naomba anijuze.
Sox zimechafua hali ya hewa
 
Next time jaribu kubadilisha usafiri utumie ndege nafikiri itakua better zaidi kwako
 
Usiku hilo basi litakuwa lilitumika kama danguro Singida kuna tabu ya maji wenzio hawaoshi.Acha dirisha wazi
 
ni panya mkuu,kafia nyuma ya seat ya dereva!!next time panda zile yutong za ABC
 
Mkuu mkipita Isuna naomba unichukulie jogoo la kienyeji utanikuta ubungo nakusubiri nitakulipa na hela ya usumbufu achilia mbali gharama za manunuzi!
 
Back
Top Bottom