Search results

  1. M

    Diwani wa CHADEMA Kunduchi J R Kuondolewa?

    Vilaza bwana unashindwa kulelewa na mwanamke unaleta mambo ya kike humu.kajipange hujui propoganda.
  2. M

    Chadema chama changu kwanini ni madiwani tu?

    Nasikilitishwa sana NA kusikia kila Leo madiwani wanaitwa na kamati kuu ya chama kujibu tuhuma ilihali kuna wabunge wana matuhuma kibao tu, na wao tena zaidi hata ya madiwani. Leo kamati kuu inamjadili Diwani wa Igoma Adam Chagulani,inaweza kuwa jambo zuri na lina masilahi ndani ya chama...
  3. M

    Sherehe za miaka 50 zatawaliwa na mavazi ya CCM

    Nipp kwenye viwanja vya tanganyika pekas kawe katka maazimisho ya sherehe za miaka 50 ya uhuru wa tanganyika ila nasikitika sana watu wote waliopo hapa wamevaa mavazi ya ccm ambayo mwalimu hakupenda kuyavaa kabisa.cha kushangaza sherehe hizi zinaonekana zimetawaliwa na wana ccm utazani ni...
  4. M

    Kata ya Sinza kupata mtandao wa maji taka

    Tatizo kubwa la kimiundo mbinu ya maji taka yani( siwage) lililokuwa likikabili kata ya sinza tayari limepatiwa ufumbuzi, akiongea na itv diwani wa kata ya sinza mh renatus pamba cdm alisema tayari wataamu wameshamaliza kupima eneo lote la kata ya sinza na sasa wapo katika hatua ya kukamilisha...
  5. M

    Sinza kuanza kuwekwa bango ya kutambua maeneo ya wazi leo

    kata ya sinza leo mabango ya kutangaza maeneo ya wazi yamewekwa barabara ya lion sinza kwa mjibu wa diwani wa sinza renatus pamba CDM amesema kuwa wataweka mabango maeneo yawazi yaliyovamiwa yasiyopungua mia moja na amewataka watu wote waliovamia waanze kuondoka maeneo ya wazi
Back
Top Bottom