Sherehe za miaka 50 zatawaliwa na mavazi ya CCM

MAZUMILA

Member
Nov 9, 2011
7
0
Nipp kwenye viwanja vya tanganyika pekas kawe katka maazimisho ya sherehe za miaka 50 ya uhuru wa tanganyika ila nasikitika sana watu wote waliopo hapa wamevaa mavazi ya ccm ambayo mwalimu hakupenda kuyavaa kabisa.cha kushangaza sherehe hizi zinaonekana zimetawaliwa na wana ccm utazani ni sherehe ya ccm
 
Hapa nipo IFM nasikia baruti za kufa mtu sasa sijui za wapi hizi ila nasikia pale mnazi mmoja wamejikusanya viwanjani
 
Hapa nipo IFM nasikia baruti za kufa mtu sasa sijui za wapi hizi ila nasikia pale mnazi mmoja wamejikusanya viwanjani
Hello, najaribu kuingia! Mnazi mmoja hapajachangamka sana! Mh Bilal,Pinda, Lowasa na Masaburi ndani ya Nyumba !
 
Hodi hodi wandugu najaribu kuingia kwa mara ya kwanza! Nawatakieni mkesha mwema!
 
Nipp kwenye viwanja vya tanganyika pekas kawe katka maazimisho ya sherehe za miaka 50 ya uhuru wa tanganyika ila nasikitika sana watu wote waliopo hapa wamevaa mavazi ya ccm ambayo mwalimu hakupenda kuyavaa kabisa.cha kushangaza sherehe hizi zinaonekana zimetawaliwa na wana ccm utazani ni sherehe ya ccm
Wewe umekwenda kwenye mkesha wa sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Tanzania kwahiyo usishangae hayo mavazi, tafuta mahali kwenye mkesha wa uhuru wa Tanganyika huwezi kukuta huo upuuzi.
Mimi mkesha wangu leo ni hapa hapa JF.
 
Rangi za bendera ya Tanzania pia zinatumiwa na Masisiem kwa hiyo si kila kijani na njano unazoona ukadhani au kusema ni sisiem!!! vinginevyo una chuki au inferiority complex!!!!!
 
mliokwenda kwenye hiyo mikesha ni wanafiki, sie tunaomboleza miaka 50 ya uhuru wa tanganyika kanisani halafu nyie mnashabikia! mafisadi wakubwa nyie.
 
Rangi za bendera ya Tanzania pia zinatumiwa na Masisiem kwa hiyo si kila kijani na njano unazoona ukadhani au kusema ni sisiem!!! vinginevyo una chuki au inferiority complex!!!!!

Mwanali-Ugali umechemsha. CCm rangi yao ni kijani ya tofaa (Mgomba) - bright (apple) green. Bendera ya Taifa ina kijani cha bahari/kichaniwiti (sea green). Na ccm inatumia njano mpauko (light yellow) wakati bendera yetu inatumia Njanoiliyokoleza (deep yellow).

Sasa ushamba wenu wa kutumia mavazi ya cham kwenye sherehe za kitaifa ndio unaouzidisha umbumbumbu hata mali zetu zina pita bila wabunge kupiga kelele. na sasa bendera yetu ya taifa inageuzwa rangi kinyemela zimeisha kuwa za CCM.

Hivi hata wanajeshi tuliokuwa tukiwategemea hawalioni hili na kulichukulia hatau au ndo sera ya vyama vingi toka enzi za operesheni nidhamu imeshika hatamu hadi leo?
 
Nipp kwenye viwanja vya tanganyika pekas kawe katka maazimisho ya sherehe za miaka 50 ya uhuru wa tanganyika ila nasikitika sana watu wote waliopo hapa wamevaa mavazi ya ccm ambayo mwalimu hakupenda kuyavaa kabisa.cha kushangaza sherehe hizi zinaonekana zimetawaliwa na wana ccm utazani ni sherehe ya ccm
Unachokiona ni MUENDELEZO wa msemo "mwenyekisu ndiye atakayekula nyama". Hapo kinachoendelea ni "ulaji" kwa kisingizio cha miaka hamsini ya uhuru wa nchi "isiyotajwa" kupitia CCM.
 
Wewe umekwenda kwenye mkesha wa sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Tanzania kwahiyo usishangae hayo mavazi, tafuta mahali kwenye mkesha wa uhuru wa Tanganyika huwezi kukuta huo upuuzi.
Mimi mkesha wangu leo ni hapa hapa JF.
mie nasherehekea uhuru wa tanganyika na kuhuzunika na ndoa ya tanganyika na zanzibar kwa mpigo.......... MIXED FEELINGS
 
Hizo sherehe zenyewe hazieleweki ni za nini,
Tanganyika, tanzania bara au tanzania.
Mi ningekushauri kama una dili zako za hela nenda kapige ili utafute hela ya X-mass kuliko kupoteza muda wako hapo!!!
Kuna watu wakikaa hapo hela ishaimgia from ile bajeti yao ya 50Billion!!!,
Usiwaige bila kujijua mkuu!!
 
Back
Top Bottom