Nasikilitishwa sana NA kusikia kila Leo madiwani wanaitwa na kamati kuu ya chama kujibu tuhuma ilihali kuna wabunge wana matuhuma kibao tu, na wao tena zaidi hata ya madiwani.
Leo kamati kuu inamjadili Diwani wa Igoma Adam Chagulani,inaweza kuwa jambo zuri na lina masilahi ndani ya chama lakini Mbona Iwe kwa madiwani tu.
Au madiwani chama changu hakiwathamini,manake kama kuweka mambo sawa na msimamo wa chama ungewaita wabunge watovu wa nidhamu kama Shibuda,Selasini,na hata Zitto, Ila Diwani akikosa kidogo kamati kuu inamwita.
Jamani tuonyeshe kutenda haki na kuheshimu kila nafasi ya mtu hawa wote wamechaguliwa na wanawakilisha watu isipokuwa kila mmoja kwa ngazi yake.
Viongozi hebu tumieni busara kuona haya.
Ni hayo kwa Leo.