Search results

  1. Nzelu za bwino

    Pale upinzani unapoacha kujadili mambo msingi na kuweka nguvu zao kumjadili Makonda! Tuna wapinzani wa hovyo sana!

    We wewe umejiweka upande gani miongoni mwa watanzania unao waongelea?!au wewe mwenzetu ni mrundi ?.
  2. Nzelu za bwino

    Msaada wa chakula toka USA ni kuichafua Tanzania

    Labda mtoto wako tu,Mimi watoto wangu wote wamepata chanjo zote zinazotakiwa na wana afya njema sana serikali haiwezi kuruhusu viletwe vitu vinavyoweza kudhuru wananchi wake iwe madawa,chakula nk.na ndio maana Kuna idara au taasisi zinazo shughulika na ukaguzi wa hivyo vitu na hiyo ndio kazi ya...
  3. Nzelu za bwino

    Msaada wa chakula toka USA ni kuichafua Tanzania

    Wangetaka kutumaliza wangefanya hivyo kupitia chanjo za watoto,dawa za kufubaza virusi vya ukimwi,dawa mbalimbali za kutibu magonjwa,simu za mkononi,nk.hivyo ondoa wasiwasi .maana wasiwasi mwingine uleta ujinga machoni pawatu kama tulivogoma KUPATA chanjo ya COVID tukihofia kuhujumiwa wakati...
  4. Nzelu za bwino

    Serikali ya Tanzania yashinda Shauri la Usuluhishi katika Baraza la Kimataifa la Biashara (ICC)

    Safi sana hongeren mawakili WETU kwa kipambania maslahi ya taifa letu
  5. Nzelu za bwino

    Gerald Hando: Mbowe aachie ngazi, amekaa sana CHADEMA

    Hivi kati ya mbowe ,pr lipumba na cheyo nani kakaa sana kwenye uwenyekiti?
  6. Nzelu za bwino

    Zitto ang'atuka uongozi ACT Wazalendo. Mbowe atang'atuka lini CHADEMA?

    Pr lipumba na cheyo vp ,kila chama na utaratibu wake
  7. Nzelu za bwino

    Mwinyi ndiye Rais bora kuwahi kutokea katika Taifa hili, anaondoka wala hatuna kinyongo nae

    Hakika huyu mzee ndiye aliyefanya mageuzi makubwa ya kidemokrasia na kiuchumi hapa nchini.mungu ailaze roho ya mzee ruksa mahali pema pepon.amina.
  8. Nzelu za bwino

    Jakaya Mrisho Kikwete, My favourite president!

    Kazi zilizofanywa na mh jakaya kikwete ni kama ifuatavyo 1,miundombinu ya Barabara alijenga Barabara za lami kuunganisha karibu mikoa yote ya NCHI hii .Leo mtu unaweza Toka mbeya mpaka masasi kwa siku moja tu. 2.ELIMU.alijenga shule za kata NCHI mzima na kuondoa mfumo wa wana funzi kuchaguliwa...
  9. Nzelu za bwino

    Makonda ndiye bosi wa Mawaziri wote kwakuwa yeye ndiye anasimamia Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM

    Hivi katibu mwenezi wa ccm nae anaingia kwenye baraza la mawaziri?
  10. Nzelu za bwino

    Tundu Lissu ahojiwa na BBC kuhusu Maandamano asema ndio kwanza kunakucha

    Rais Samia Anastahili kupongezwa kwa kuisimamia Katiba vizuri.
  11. Nzelu za bwino

    Tundu Lissu ahojiwa na BBC kuhusu Maandamano asema ndio kwanza kunakucha

    Anastahili kupongezwa kwa kuisimamia Katiba vizuri.
  12. Nzelu za bwino

    Tundu Lissu ahojiwa na BBC kuhusu Maandamano asema ndio kwanza kunakucha

    Badala ya kumshukuru mh rais Samia suluhu hassan ,mm naona katika hili na mambo mengine ni Bora tukampongeza kwa kuisimamia vizuri Katiba ALIYO apa kulinda na kuisimamia.hongera sana mama .
  13. Nzelu za bwino

    Tundu Lissu ahojiwa na BBC kuhusu Maandamano asema ndio kwanza kunakucha

    Hapa tofauti ni kwamba tundu lissu hajaongelea kiungwana kaongelea Hilo jambo kisheria .maana kama Katiba inaruhusu jambo au inakataza jambo hakuna mwenye mamlaka kufanya tofauti.ukiona hivyo ujue Kuna tatizo mahala
  14. Nzelu za bwino

    Tundu Lissu ahojiwa na BBC kuhusu Maandamano asema ndio kwanza kunakucha

    Kwa tunaokuamini na kupenda kujifunza kwako kama mwanasheria,tushike lipi kati ya hizi kauli zako mbili . 1.lile swali ulilo muuliza mh magufuli kuhusu yeye kuzuia mikutano ya hadhara wakati Katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania inaruhusu na kutambua kama haki ya kila chama cha siasa...
  15. Nzelu za bwino

    Kwa sasa chama cha siasa ambacho kimepoteza mvuto kabisa ni CHADEMA, haipo tena kwenye mioyo ya watu

    Umenena kweli mkuu,ndio maana Mimi nashauri hawa watu Wawa ache wafanye tumaandamano twao Ili wajichore vizuri kwa wananchi.
Back
Top Bottom