Tundu Lissu ahojiwa na BBC kuhusu Maandamano asema ndio kwanza kunakucha

Tundu Antipas Lissu amesema Maandamano ya jana ni mwanzo tu na hawatakubali tena kuburuzwa na kulaghaiwa na serikali

Lissu amesema hakuna alitewahurumia na kuwaruhusu kuandamana kwani haki ya kuandamana imetolewa na Katiba ya JMT

Source BBC news
Yupo sahihi lakini hata Rais lazima tumpongeze sababu ameepusha umwagaji damu na kesi zisizo na msingi maana polisi wetu ni hopeless kabisa wapo tayari kuua muda wowote
 
Badala ya ku blame taasisi husika, mnaandamana kutukwaza mabarabarani kwa foleni, blame kwa kumwandikia waziri husika wa nishati juu ya tatizo naye atoe jibu la msingi, sasa mnataka kutufungia mabarabara, stupidity!
Maandamano hayafanywi kwa ghafla.Ulishindwa nini kupanga njia za kupita?Wewe ni taahira.
 
Waswahili wana msemo, "Ukipewa shubiri usichukue pima!", niliwahi kuwashauri Chadema, wawe watu wa shukrani, appreciative kwa madoho ili waweze kupatiwa makubwa!.

Mikutano na maandamano yalipigwa marufuku na wote waliufyata hakuna yeyote aliyefanya lolote!. Tena kwa vile Lissu ni mwanasheria, he should know better Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!

Kuna siku nikutana na Zitto kwenye mkutano fulani, nikamwelezwa point blank Zitto Kabwe na wapinzani wote, kwanini mnapiga tu kelele kuhusu udikteta bila kuchukua hatua zozote? Isn't it a nuisance? Je, 2020 ni CCM pekee? nilisema
View: https://youtu.be/A_YPEHtM9WM?si=5rZYed5bc8u_n9FZ

Everybody did nothing on this!.

Mama Samia Suluhu kaingia akaja na falsafa yake ya 4R, R ya kwanza ni ya jina lake, Suluhu!, akaleta suluhu, akaruhusu mikutano ya siasa ya vyama, akaruhusu maandamano, kwa hisani tuu!, na baada ya kuruhusu mikutano tukaeleza kitu humu Anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga. Kuzuiwa bila kifungu, kuruhusu bila Kifungu. Ni hisani ya Rais Samia. Haki kuhisaniwa hadi lini?

Na baada ya Chadema kupanga maandamano, tukamkumbusha Mama Maandamano ni Haki ya Vyama vya Siasa, Serikali itoe kila ushirikiano kwa CHADEMA hata kama uelekeo ni Ikulu wameruhusiwa kuandamana na wameandamana kwa amani, wanachopaswa kufanya ni kushukuru na sio kuleta nyodo!.

P

Nashukuru umeliona hilo na kuliweka vizuri.
Tundu Lissu anaweza akafanya kwa ufanisi kazi za kutumwa lakini siyo kuwa mwamuzi wa mwisho.

Ana element za Ki-Magufuli kujisikia kuwa yeye ndiyo ana akili kuliko wengine na ni bora kuliko wengine. Hizo ndiyo typical characteristics za ma DIKTETA. Nadhani hata risasi alizopigwa na Magufuli zilitokana na kwamba fuse zinazofanana zili react zilipokutana.

Urais inahitaji mtu humble, mwenye akili iliyotulia, anayefikiria jambo mara 2, anayetafuta ushauri kwa wengine, asiye mropokaji, anaye muogopa Mungu kwa vitendo na asiyependa dhuluma.

Kama hawezi kuona mchango wa Rais Samia kwenye hali ya sasa ya kisiasa basi upstairs yake imeathirika na risasi alizopigwa.
 
Well said....
 
Ukishalipenda jambo kwani kuna wa kukubadilisha mawazo?Unaelezwa kuhusu takwa la kikatiba ,wewe umepiga magoti unamshukuru na "kumuabudu" SSH.Sawa.Endelea.
 
Waswahili wana msemo, "Ukipewa shubiri usichukue pima!", niliwahi kuwashauri Chadema, wawe watu wa shukrani, appreciative kwa madoho ili waweze kupatiwa makubwa!.

Mikutano na maandamano yalipigwa marufuku na wote waliufyata hakuna yeyote aliyefanya lolote!. Tena kwa vile Lissu ni mwanasheria, he should know better Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!

Kuna siku nikutana na Zitto kwenye mkutano fulani, nikamwelezwa point blank Zitto Kabwe na wapinzani wote, kwanini mnapiga tu kelele kuhusu udikteta bila kuchukua hatua zozote? Isn't it a nuisance? Je, 2020 ni CCM pekee? nilisema
View: https://youtu.be/A_YPEHtM9WM?si=5rZYed5bc8u_n9FZ

Everybody did nothing on this!.

Mama Samia Suluhu kaingia akaja na falsafa yake ya 4R, R ya kwanza ni ya jina lake, Suluhu!, akaleta suluhu, akaruhusu mikutano ya siasa ya vyama, akaruhusu maandamano, kwa hisani tuu!, na baada ya kuruhusu mikutano tukaeleza kitu humu Anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga. Kuzuiwa bila kifungu, kuruhusu bila Kifungu. Ni hisani ya Rais Samia. Haki kuhisaniwa hadi lini?

Na baada ya Chadema kupanga maandamano, tukamkumbusha Mama Maandamano ni Haki ya Vyama vya Siasa, Serikali itoe kila ushirikiano kwa CHADEMA hata kama uelekeo ni Ikulu wameruhusiwa kuandamana na wameandamana kwa amani, wanachopaswa kufanya ni kushukuru na sio kuleta nyodo!.

P

Kushukuru katika haki yako iliyokuwa inazuiwa ni ubwege Pasco, na sio jambo la kushabikia hata kidogo kwani watu wabaya watazoea kutumia madaraka yao kuzuia haki ili wairudishe kama favor washukuriwe kwa vigelegele na mapambio.
Yaani mwizi aibe gari lako kisha ukimjua akurudishie umpe Asante?
 
Pascal anazeeka vibaya sana huku akiwa muoga.Uoga wake anatudanganya ni kuwa "humble and down to the earth"(kuabudu viumbe)!Akiachwa hivyo atarithisha vijana ujingaujinga.
 
Ni sionekane na pinga lakini na hisi wewe ndiye unakosea ,tena hasa unapokuwa mwandishi na mwanasheria.

Haki haiombwi. Wanaishukuru katiba inayotoa haki hiyo siyo mtu. CCM mmefundishwa vibaya, ndiyo maana unaona watu wanapata ajali wana mshukuru Mama Samia.

Wewe Ni mwanasheria ulipaswa uone, hili swala hawapaswi kumshukuru yeyote, Haki sio hisani inayotolewa na mtu. Haki ni takwa la kikatiba na kisheria. Kwanini washukuru au wamshukuru nani sasa?

Hivi vitu tunapaswa tuanze kuvizoea visionekane ni hisani, kutenda haki ni wajibu wa serikali yoyote iliyoko madarakani kwa mujibu wa katiba. Chadema kuruhusiwa kuandamana ni sehemu ya jukumu la serikali, na kuyalinda ni sehemu ya jukumu la serikali.

Ni jambo jema wameruhusu, na wamelinda lakini sioni kama kuna sababu ya serikali kushukuriwa kwa hili, kwa sababu wametekeleza wajibu wa serikali.
Tumefika point of no return, hakuna cha kushukuru hapa , ili hali maandamano yapo kwa mjibu wa katiba. Hata vimwagwe vifaru , wasipotekeleza nini tunataka kama wananchi tutaandamana usiku , mchana mpaka hasubuhi
 
Tundu Antipas Lissu amesema Maandamano ya jana ni mwanzo tu na hawatakubali tena kuburuzwa na kulaghaiwa na serikali

Lissu amesema hakuna alitewahurumia na kuwaruhusu kuandamana kwani haki ya kuandamana imetolewa na Katiba ya JMT

Source BBC news
ni mwepesi sana na pumzi naona haiko sawa 🐒
 
nahuyu ndio zito kabwe kama ulikuwa hujui ndio nakupa taarifa
Hata kama ni kweli angekuwa yeye, hii ingekuwa name calling!.
Bahati nzuri mimi ni mtu wa graphology, mZito Kabwela sio Zitto Kabwe, Zitto yumo humu na ni verified!.
P
 
Waswahili wana msemo, "Ukipewa shubiri usichukue pima!", niliwahi kuwashauri Chadema, wawe watu wa shukrani, appreciative kwa madoho ili waweze kupatiwa makubwa!.

Mikutano na maandamano yalipigwa marufuku na wote waliufyata hakuna yeyote aliyefanya lolote!. Tena kwa vile Lissu ni mwanasheria, he should know better Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!

Kuna siku nikutana na Zitto kwenye mkutano fulani, nikamwelezwa point blank Zitto Kabwe na wapinzani wote, kwanini mnapiga tu kelele kuhusu udikteta bila kuchukua hatua zozote? Isn't it a nuisance? Je, 2020 ni CCM pekee? nilisema
View: https://youtu.be/A_YPEHtM9WM?si=5rZYed5bc8u_n9FZ

Everybody did nothing on this!.

Mama Samia Suluhu kaingia akaja na falsafa yake ya 4R, R ya kwanza ni ya jina lake, Suluhu!, akaleta suluhu, akaruhusu mikutano ya siasa ya vyama, akaruhusu maandamano, kwa hisani tuu!, na baada ya kuruhusu mikutano tukaeleza kitu humu Anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga. Kuzuiwa bila kifungu, kuruhusu bila Kifungu. Ni hisani ya Rais Samia. Haki kuhisaniwa hadi lini?

Na baada ya Chadema kupanga maandamano, tukamkumbusha Mama Maandamano ni Haki ya Vyama vya Siasa, Serikali itoe kila ushirikiano kwa CHADEMA hata kama uelekeo ni Ikulu wameruhusiwa kuandamana na wameandamana kwa amani, wanachopaswa kufanya ni kushukuru na sio kuleta nyodo!.

P

Kwa tunaokuamini na kupenda kujifunza kwako kama mwanasheria,tushike lipi kati ya hizi kauli zako mbili .
1.lile swali ulilo muuliza mh magufuli kuhusu yeye kuzuia mikutano ya hadhara wakati Katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania inaruhusu na kutambua kama haki ya kila chama cha siasa kilichosajiliwa.nakumbuka ulimuliza kwamba yeye magufuli amepata wapi mamlaka ya kuzuia mikutano inayoruhusiwa na Katiba ya NCHI.maana kupitia Ili swali ulijitangaza sana ndani nanje ya NCHI ukizingatia hakuna mwandishi wa habari yeyote zaidi yako aliethubutu kumuuliza magufuli swali kama Hilo hadharani.
2.hili la Leo unasema watanzania wawe na shukurani wanaoo pewa hapo kidogo wanaposubiri kikubwa hata kikatiba wamepewa chote Ila akitokea mtu anawapa kidogo washukuru .
Je sisi tunaojifunza kwako tushike lipi tusije tukafeli mtihan shulen
 
Nashukuru umeliona hilo na kuliweka vizuri.
Tundu Lissu anaweza akafanya kwa ufanisi kazi za kutumwa lakini siyo kuwa mwamuzi wa mwisho.

Ana element za Ki-Magufuli kujisikia kuwa yeye ndiyo ana akili kuliko wengine na ni bora kuliko wengine. Hizo ndiyo typical characteristics za ma DIKTETA. Nadhani hata risasi alizopigwa na Magufuli zilitokana na kwamba fuse zinazofanana zili react zilipokutana.

Urais inahitaji mtu humble, mwenye akili iliyotulia, anayefikiria jambo mara 2, anayetafuta ushauri kwa wengine, asiye mropokaji, anaye muogopa Mungu kwa vitendo na asiyependa dhuluma.

Kama hawezi kuona mchango wa Rais Samia kwenye hali ya sasa ya kisiasa basi upstairs yake imeathirika na risasi alizopigwa.
Hapa tofauti ni kwamba tundu lissu hajaongelea kiungwana kaongelea Hilo jambo kisheria .maana kama Katiba inaruhusu jambo au inakataza jambo hakuna mwenye mamlaka kufanya tofauti.ukiona hivyo ujue Kuna tatizo mahala
 
Hata kama ni kweli angekuwa yeye, hii ingekuwa name calling!.
Bahati nzuri mimi ni mtu wa graphology, mZito Kabwela sio Zitto Kabwe, Zitto yumo humu na ni verified!.
P
hahaha sawa kiongozi kikubwa wafuate sheria za nchi, penye kushukuru washukuru pia, sio wanaleta kejeki kisa ni haki yao, binadamu hatupo hivyo, yaan watoto wasimshukuru baba kwa kuwaletea nguo kisa ni haki yao ya msingi kwani ukisema asante kunakitu kinapungua zaidi utamfanya mtoaji akuletee zaidi na zaidi lakini mijitu yetu ya kiafrika hasa tz ina matatizo ya...... Kwenye bongo zao ndio mana hawapendi kusikia unachowaambia ila wanapenda kusikia wanachokipenda "usimjibu mpumbavu kulingana na upumbavu wake ili usiwe kama yeye. mjibu mpumbavu kulingana na ujinga wake ili asifikiri kwamba ana hekima" pasco piga misumali wataumia but watapona
 
Badala ya kumshukuru mh rais Samia suluhu hassan ,mm naona katika hili na mambo mengine ni Bora tukampongeza kwa kuisimamia vizuri Katiba ALIYO apa kulinda na kuisimamia.hongera sana mama .
 
Waswahili wana msemo, "Ukipewa shubiri usichukue pima!", niliwahi kuwashauri Chadema, wawe watu wa shukrani, appreciative kwa madoho ili waweze kupatiwa makubwa!.

Mikutano na maandamano yalipigwa marufuku na wote waliufyata hakuna yeyote aliyefanya lolote!. Tena kwa vile Lissu ni mwanasheria, he should know better Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!

Kuna siku nikutana na Zitto kwenye mkutano fulani, nikamwelezwa point blank Zitto Kabwe na wapinzani wote, kwanini mnapiga tu kelele kuhusu udikteta bila kuchukua hatua zozote? Isn't it a nuisance? Je, 2020 ni CCM pekee? nilisema
View: https://youtu.be/A_YPEHtM9WM?si=5rZYed5bc8u_n9FZ

Everybody did nothing on this!.

Mama Samia Suluhu kaingia akaja na falsafa yake ya 4R, R ya kwanza ni ya jina lake, Suluhu!, akaleta suluhu, akaruhusu mikutano ya siasa ya vyama, akaruhusu maandamano, kwa hisani tuu!, na baada ya kuruhusu mikutano tukaeleza kitu humu Anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga. Kuzuiwa bila kifungu, kuruhusu bila Kifungu. Ni hisani ya Rais Samia. Haki kuhisaniwa hadi lini?

Na baada ya Chadema kupanga maandamano, tukamkumbusha Mama Maandamano ni Haki ya Vyama vya Siasa, Serikali itoe kila ushirikiano kwa CHADEMA hata kama uelekeo ni Ikulu wameruhusiwa kuandamana na wameandamana kwa amani, wanachopaswa kufanya ni kushukuru na sio kuleta nyodo!.

P

Pascal mayalla ni kituko, haki yako unashukuru kitu gsni?
Dawa yako ni wajumbe tu.
Upate kura moja ama 0
 
Back
Top Bottom