Makonda ndiye bosi wa Mawaziri wote kwakuwa yeye ndiye anasimamia Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM

Hii nchi haitawaliwi Kijeshi bali inatawaliwa kidemokrasia kwa maana hiyo Chama kilichoshinda Uchaguzi Ndio chenye dhamana ya kuunda serikali na kuisimamia

Katibu wa Itikadi na Uenezi ndiye anayesimamia utekelezaji wa Ilani ya CCM na Mawaziri Ndio Vijana wa Chama wanaotekeleza Ilani

Mawaziri Mizigo Chama kinawatupa kule 🔥

Wote matahira wamekutana. Acha watumbukie shimoni.
 
Mbona mnaongeza chumvi,ni wapi Makonda amaefanya uamuzi wa kumfukuza mtu?yeye anahoji Watendaji kwa niaba ya Wananchi na akiona Mtendaji chenga anawapigia mamlaka za kiutumishi kwa muhusika,kama ambavyo alimshitaki DED wa Handeni kwa Mchengerwa naye akachukua hatua,na wala haikuwa uonevu maana DED mwenyewe alikuwa hajielewi.
Punguzeni chai,ata kama hamumpendi Makonda lakini siyo vizuri kusema uongo!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app

Anzisheni page ya CCM hapa tunaomba tuongee mambo muhimu ya kitaifa. Sio chama hicho hicho kuchambana na uchawa kila siku. Mambo muhimu ni mengi sana
 
Hii nchi haitawaliwi Kijeshi bali inatawaliwa kidemokrasia kwa maana hiyo Chama kilichoshinda Uchaguzi Ndio chenye dhamana ya kuunda serikali na kuisimamia

Katibu wa Itikadi na Uenezi ndiye anayesimamia utekelezaji wa Ilani ya CCM na Mawaziri Ndio Vijana wa Chama wanaotekeleza Ilani

Mawaziri Mizigo Chama kinawatupa kule 🔥
Hivi katibu mwenezi wa ccm nae anaingia kwenye baraza la mawaziri?
 
Sidhani kama katiba inamruhusu kumhoji au kumpa maagizo moja kwa moja waziri.

Bila shaka Kama kiongozi wa chama anatakiwa akaripoti kwa viongozi wake wa chama i.e mwenyekiti mapungufu ya wateule wake kwenye serikali.
Waziri,hata yule katibu wake wa kata ni boss wake,kichama.
 
Hii nchi haitawaliwi Kijeshi bali inatawaliwa kidemokrasia kwa maana hiyo Chama kilichoshinda Uchaguzi Ndio chenye dhamana ya kuunda serikali na kuisimamia

Katibu wa Itikadi na Uenezi ndiye anayesimamia utekelezaji wa Ilani ya CCM na Mawaziri Ndio Vijana wa Chama wanaotekeleza Ilani

Mawaziri Mizigo Chama kinawatupa kule
Ka ana hoja anipeleka kwa Rais au PM au Naibu PM wao ndio watawa summon mawaziri
 
Back
Top Bottom