Search results

  1. Tripitaka

    Car cabin air filter

    Habarini wakuu, Moja kwa moja niende kwenye mada, nina gari Carina Ti My Road. Hii gari ni mwaka wa 5 huu ninayo sasa changamoto kuipata hiyo Cabin filter ya ac ili tupulize vumbi au kuibadilisha kabisa,tumetafuta sana na mafundi ac lakin hatujaipata. Kwa kifupi haijulikani ipo wapi. Leo...
  2. Tripitaka

    Gari yangu nikiwasha AC inakuwa nzito

    Habarini wakuu! Niende moja kwa moja kwenye mada, ipo hivi; Gari yangu nikiwasha AC inakuwa nzito kidogo tofauti na ilipokua sijawasha, yaan kama vile kuna mzigo nimebeba. Nimeshindwa kujua sababu mimi sio mzoefu wa magari ni gari yangu ya kwanza. Swali ni je , gari yangu tu au huwa na gari...
  3. Tripitaka

    Nikirudi nyumbani nisipokuta chakula tayari inanikera sana

    Unatoka kazini jioni umechoka, unatamani ukifika home ukaoge ukute chakula mezani, lakini ile unafika mtu ndio anaanza kupika chakula, mpaka kuiva masaa mawili mbele dah!
  4. Tripitaka

    Viwanja kwa ajili ya makazi na biashara

    Habarini wakuu! Naleta kwenu habari njema kabisa, kuna kiwanja/viwanja vinauzwa maeneo ya Nyasaka-Mwanza karibu na TABASAMU ENGLISH MEDIUM au ISTQAAMA ISLAMIC SCHOOL. Kiwanja ni kikubwa sana kina 9,750 Square Meters na kipo katika eneo la kimkakati kinaweza kutumika kwa matumizi ya biashara na...
  5. Tripitaka

    Utaratibu wa kumiliki na kuendesha biashara ya Bonanza

    Habari wakuu! Niende kwenye mada kabisa, mimi nauliza utaratibu wa kumiliki na kuendesha biashara ya Bonanza Slot Machines kama haya ya wachina utaratibu wake upoje kwa yeyote anayemfaham ? Karibu sana kwa mchango wako.
  6. Tripitaka

    Kampuni ya Apple siku ya jana imetambulisha simu mpya

    Kampuni ya Apple Siku ya Jana imetambulisha Simu zake mpya aina ya IPhone 12 , ambazo zimezinduliwa katika miundo Minnie Tofauti (IPhone 12 Mini , Iphone 12 , Iphone 12 pro na IPhone 12 Pro Max). Gharama za Simu hizo ni kuanzia Dolla za kimarekani 699 (Milion 1.2 ) Mpaka Milioni 3 kwa zile za...
  7. Tripitaka

    Ubalozi wa China uliopo Houston kufungwa kufikia Ijumaa

    Wizara ya mambo ya nje ya Marekani imesema kuwa uamuzi huo unalenga "kulinda akilimiliki ya Wamarekani ". Lakini msemaji wa wizara ya mambo ya nchi za nje ya Uchina Wang Wenbin amesema kuwa uamuzi huo "ni wa kushitua na usio na sababu ". Taarifa hii imekuja baada ya watu wasiojulikana...
  8. Tripitaka

    Business partner anahitajika

    Habarini wakuu! Niende moja kwa moja kwenye mada, mimi ni kijana mtanzania nina wazo la biashara la kufungua kampuni ya usafi. Niko Mwanza jiji nahitaji mtu wa kushirikiana nae kufanya naye biashara tajwa hapo juu, nimejifunza vya kutosha na nina mtaji kiasi. Nipo tayari lakini kwa sasa...
  9. Tripitaka

    Faida ya nchi kuwa katika uchumi wa kati ni nini?

    Habari wakuu! World Bank wametangaza kua Tanzania kwa sasa ni nchi ya uchumi wa kati, sasa kutokana na taarifa hii sisi kama wananchi taarifa hiyo inaweza kuwa na faida gani kwetu kiuchumi (kwa mtu mmoja mmoja) ? Na je, sisi kama vijana tunaweza kufanya nini cha kutusaidia kujikwamua kiuchumi...
  10. Tripitaka

    Kumbuka hili kuhusu pesa

    Kumbuka kila wakati kuwa matumizi yako ni mapato kwa mtu mwingine, watu ambao wako nje ya udhibiti wa mtiririko wa pesa zao wanafanya watu wanaosimamia mtiririko wa pesa zao kuwa matajiri. Je umeshawahi kufikiria kuanzisha mfumo wa biashara ? Ndio ni business system. Unaweza kujifunza pia...
  11. Tripitaka

    Nahitaji mtu mwenye utaalam wa kutengeneza mobile smart phone application kwa Ios na Android

    Habari wakuu!, Niende kwenye mada moja kwa moja, mimi nahitaji mtu mwenye utaalam wa kutengeneza mobile smart phone application kwa Ios na Android. Pia naomba msaada wa maelezo kuhusu vigezo na utaratibu wa kumiliki application. Asante sana na karibuni kwa mchango wenu Jf Members.
  12. Tripitaka

    Mahusiano rafiki na ulimwengu (Harmonic relationship)

    Salam Wakuu!. Pitia hapa kidogo upate mawili matatu kuhusu hii inaitwa MAELEWANO RAFIKI NA ULIMWENGU (Harmonic relationship). Kanuni ya msingi ya ulimwengu ni ile ya utaratibu(Order), pale utaratinu unapodumu na kupanuliwa kwa muda inaleta maelewano, maelewano haya na ulimwengu ni kama wimbo...
  13. Tripitaka

    Trump ametishia kuiwekea vikwazo Iraq ikiwafukuza wanajeshi wa Marekani

    Rais Trump ametishia kufanya mashambulizi kadhaa dhidi ya Iraq baada ya bunge lake kutaka Marekani kuondoa majeshi yake nchini humo. "Tumewekeza kiasi kikubwa sana cha fedha katika jeshi la anga huko. Kujenga msingi wake imetugharimu mabilioni ya dola. Hatutaondoka labda kama watatulipa gharama...
  14. Tripitaka

    Nini maana ya hekima na ninawezaje kuipata?

    Habari wana JF, Mimi ni mgeni hapa jamvini, nomba niende moja kwa moja kwenye mada kama hapo juu inavyosema. Ninaomba kujua hekima maana yake nini na ninawezaje kuipata. Karibuni wakuu.
Back
Top Bottom