Gari yangu nikiwasha AC inakuwa nzito

Tripitaka

Senior Member
Nov 30, 2019
167
303
Habarini wakuu!

Niende moja kwa moja kwenye mada, ipo hivi;

Gari yangu nikiwasha AC inakuwa nzito kidogo tofauti na ilipokua sijawasha, yaan kama vile kuna mzigo nimebeba.

Nimeshindwa kujua sababu mimi sio mzoefu wa magari ni gari yangu ya kwanza. Swali ni je , gari yangu tu au huwa na gari zingine inakuwa hivyo. Asanteni na karibu pia.
 
Japo sijajua unazungumzia kuwa nzito kivipi ...ila compressor ikiwaka ata mzunguko wa engine unaongezeka japo wataalam watakuja kukupa info mwa ujazo zaidi
Nzito tu yan kama unavuta kitu vile, mfano hata ikiwa umepak ipo kwenye silence ile silencer inapungua kdogo.
 
Back
Top Bottom