Search results

  1. MtanzaniaMakini

    Mwenye account ya bolt

    +255759501160 tafadhali nichek nami nahitaji
  2. MtanzaniaMakini

    MACHIMBONI: Sitosahau nilivyonusurika kufa

    Duuh kaka hebu njoo inboc
  3. MtanzaniaMakini

    Plot4Sale Eneo linauzwa Manzese Argentina

    Habari ndugu kuna Eneo linauzwa Manzese Argentina. Eneo linatazamana na barabara kuu ya Morogoro road jirani kabisa na kituo cha Mwendokasi cha Argentina Eneo linafaa ujenzi wa hotel, shell au kuweka kitega uchumi chochote Bei 400ml maongezi yapo kwa maelezo zaidi What's up number +255628891673...
  4. MtanzaniaMakini

    Naomba kazi niweze kujikimu mimi na familia yangu

    Nina saidia pale napoweza kwahiyo hoja yako haina mashiko subiri ukipata swahibu utajua maana ya kuomba msaada
  5. MtanzaniaMakini

    Naomba kazi niweze kujikimu mimi na familia yangu

    Utumishi wa umma ukifukuzwa kazi inaanzia Tume ya utumishi kupeleka rufaa. Kabla ya mahala pengine
  6. MtanzaniaMakini

    Naomba kazi niweze kujikimu mimi na familia yangu

    Asante kwa maneno ya Faraja kiongozi. Ubarikiwe
  7. MtanzaniaMakini

    Naomba kazi niweze kujikimu mimi na familia yangu

    uhakika unaotaka wewe ni upi? Shtaka linasema hivyo kupewa shukrani ya Tshs elfu 10 kama ingekuwa rushwa walipaswa kuandika rushwa. Na rushwa ni hela ya kuomba hiyo sikuomba jua hivyo
  8. MtanzaniaMakini

    Naomba kazi niweze kujikimu mimi na familia yangu

    Shukrani ndugu kwa kunitia moyo
  9. MtanzaniaMakini

    Naomba kazi niweze kujikimu mimi na familia yangu

    Nyinyi ndo wenye roho mbaya na ngumu mnaofurahia matatizo ya wenzenu lakini kumbuka Dunia hii ni duara nimejitokeza kuomba kazi nisaidiwe niweze kusimama tena. Unaposema nina matatizo sana hiyo ni kejeli. Yawezekana wewe ni mtumishi hiyo taasisi niliyofukuzwa. Nimeshakata rufaa Tume namwachia...
Back
Top Bottom