Naomba kazi niweze kujikimu mimi na familia yangu

uhakika unaotaka wewe ni upi? Shtaka linasema hivyo kupewa shukrani ya Tshs elfu 10 kama ingekuwa rushwa walipaswa kuandika rushwa. Na rushwa ni hela ya kuomba hiyo sikuomba jua hivyo
Ndio maana nikasema waambie kuwa haukupewa RUSHWA bali ulipewa BAKSHISHI
 
Asante ndugu nikweli usemacho nawakati mgumu sana kaka si Familia huwenda ningejizuru
Mungu akutie nguvu, uvuke huo mtihani salama.

Suala la kujidhuru sio zuri hata kidogo.

Unaweza kuona ndege wa Angani ambao hawalimi wala kuvuna lakini wana kula na kusaza,

Wewe ni bora kuliko hao, najua Mungu kama alifanikisha kupata ajira hiyo ya Mwanzo hawezi kushindwa kukupatia nyingine iliyo bora zaidi.
 
Asante kwa maneno ya Faraja kiongozi. Ubarikiwe
 
Nenda kwenye chama chako cha wafanyakazi kuwaeleze kutoridhika na maamuzi ya mwajiri wako na sababu iliyopelekea yote hayo.Watakupa ushauri ikiwezekana hata kukugharamia kufungua uendeshaji wa kesi
 
Back
Top Bottom