Naomba kazi niweze kujikimu mimi na familia yangu

Habari ndugu,

Mimi ni mtumishi wa umma. Nimefukuzwa kazi na mwajiri wangu. Sikuafiki maamuzi kwakuwa nimeonewa nimekataa rufaa Tume.

Najitokeza kwemu kuomba kazi ili niweze kuendesha Familia na kulipa kodi ya nyumba maana napitia magumu, sina biashara yoyote na mtaji ndomana natafuta kazi niweze kujikimu.
Mbona hujasema fani yako ni ipi?
 
Habari ndugu,

Mimi ni mtumishi wa umma. Nimefukuzwa kazi na mwajiri wangu. Sikuafiki maamuzi kwakuwa nimeonewa nimekataa rufaa Tume.

Najitokeza kwemu kuomba kazi ili niweze kuendesha Familia na kulipa kodi ya nyumba maana napitia magumu, sina biashara yoyote na mtaji ndomana natafuta kazi niweze kujikimu.
Mkuu haueleweki wala hausomeki. Hujatoa hata Wasifu wako halafu unaomba kazi, kazi gani inaombwa au inatafutwa hivyo? Kuna shida upande wako. Kwanza mahusiano na jamii inayokuzunguka yalikuwaje? au yako vipi? Halafu kuna msemo unaosema Anaekupiga teke amekusogeza mbele. kama hauna chochote cha kufanya ili kupata kipato unakuwa unakosea sana kulalamila. Una simu kubwa pita hata sehemu wanakotengeneza au kuuza bidhaa/ biashara mbalimbali omba kuzipiga picha halafu uwatangazie biashara yao kupitia Whatsapp status ili upate kamisheni na uweze ku survive huku ukiendelea kutafuta kazi ya uhakika. Vilevie pita kwenye jukwaa la Biashara humu JF angalia threads mbalimbali kuna kazi ambazo unaweza ukazifanya bila kuajiliwa au bila mtaji.
 
Mnaosema utumish wa umma mpaka kufukuzwa et kazingua sana jibu n hapana skuiz hata ukishndwa kuelewana na hr au supervisor wako wakikuundia zengwe unaandikiwa termination chap tu bila barua za onyo wala kalipio kali na utaambiwa kama uridhik na majibu ya kamati ya nidham kakate rufaa tume apo ndio tayar washakutoa kwenye reli, Tume kesi inaweza kukaa zaid ya mwaka mmoja na nusu haijafanyiwa kaz na kpnd chote iko huingiziw mshahara na badae watatoa majibu rahis tu kua maamuz ya kamati ya nidham yalkua sahii ndio umeondoka kwenye systm 100%.. pole sana kaka mpka ukasimame inahitaj moyo wa ajabu sana au Mungu akufungulie njia upate ktu cha kufanya kupunguza njaa apo nyumban

Najua unachopitia na ndicho nlchoptia jiandae kisaikolojia kupoteza watu wote uliokua unaamn ndio washkaj zako ndugu zako wa karbu na ujismamie mwenyew
Umeongea ukweli mtupu, makazini watu wana roho mbaya sana. Imagine hayo machozi ya hiyo familia halafu kuna watu wanafurahi kwa walichomfanyia, vijana tuna changamoto zetu lakini maboss wawe na utu na kuangalia nyuma ya hao vijana kuna familia zinawategemea, hasa maboss vijana wana hizo changamoto, vitu vya kijinga tu kisha anataka akukomoe.
 
Back
Top Bottom