Search results

  1. F

    SIRI NZITO ya Miswada ya Dharura itakayopelekwa Bungeni Dodoma Alhamis na Ijumaa

    Kweli CCM wameamua kuharibu nchi, Huyo anaye sign hiyo miswada, angefukiri zaidi kidogo tu, angeona utata unaonyemelea nchi.
  2. F

    Angalizo: Wanaoitwa interview na utumishi wa umma

    Ahsante, nimekuelewa sana, mtaani pagumu
  3. F

    Majanga wakuu, msaada wenu tafadhali,,,

    Karibu kila e-mail inayotolewa na makampuni/tasisi kwa ajiri ya application, zinajibu PARMANENTLY FAILED,, shida inakuwa ni nin??
  4. F

    Uongozi wa chuo kikuu sauti waendesha ufisadi wa kutisha kwa wanafunzi wake

    UONGOZI WA CHUO KIKUU SAUT WAENDESHA UFISADI WA KUTISHA KWA WANAFUNZI WAKE UTANGULIZI Uongozi wa juu wa chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino (Main Campus – Mwanza) umendesha ufisadi wa hali ya juu kwa wanafunzi wake kwa kumtumia aliyekuwa mwajiriwa ofisi ya uhasibu (Oditing) Ndugu Stephen Maurice...
  5. F

    kwa yeyote aliyepoteza hiki cheti au anayemjua.

    waweza kumkuta kumkuta kwa hizo simpo conta Honoratha Sawere accountant at ministry of livestock development and fisheries - Tanzania
  6. F

    Hapa ni wapi?

    Kwa pita pita zangu Tanzania hii hapo ni Mbeya- Tukuyu road
  7. F

    Do you think she's beautiful?

    sijaamini macho yangu baada ya kugeuza skreen, duh!
  8. F

    Windows 7 installation msaada

    Naomba msaada wa Windows7 Ultimate installation, nikifika hatua ya "install now" inaniambia select drivers to be installed, hapa kila uchaguzi hauniletei matunda, task bar maneno "collecting information" ni kimya, pc yangu ni dell latitude d620, nifanyeje jamen?
  9. F

    BOOM LA LOAN BOARD St AUGUSTINE CHEQUE IMEWEKWA FIXED ACCOUNT.

    ficha sura lako lisilo na haya, njoo ujizolee, c msimu wa mavuno? Utakufa :hatari:
  10. F

    Slogans za ku-edit

    "ccm ilipo na nguvu wakazi wake wengi ni vilaza ('common people' who kwnows nothing about tomorrow)
  11. F

    Nisaidieni jamani, Laptop yanipa tabu,

    Nashukuru saana kwa ushauri mzuri wa kitaalam, unt virus nitumiayo ni Microsoft essentials, Kaspersky naweza ipata/download, shida kuifungua 4installation inakuja hiyo windows media player, ZING Nashukuru kwa ushauri, nitaufanyia kazi mapemaaa.
  12. F

    Nisaidieni jamani, Laptop yanipa tabu,

    Naomba msaada wenu nifanyeje Laptop iliingiwa na virus (Trojan), nime scan bado imificha programs, program ZOTE nikifungua inatokea Window Media, hata Icons zote zaonesha Windows media player.
  13. F

    Huyu mama rpc wa morogoro duh!!!

    Hiivi,, sifa muhimu ili mtu awe RPC ni zip? ninawasiwasi na huyu matheri
  14. F

    Mwakyembe mgonjwa afya yake yadorora; ngozi yavimba mwili mzima. Yadaiwa alitegeshewa sumu

    Pole saana Dr. Mwakyembe, Mungu atakujalia afya njema urudi kunusuru nchi, mchango wako Watanzannia tunauhitaji sana.
Back
Top Bottom