Windows 7 installation msaada

Fighter G

Member
Oct 8, 2011
17
4
Naomba msaada wa Windows7 Ultimate installation, nikifika hatua ya "install now" inaniambia select drivers to be installed, hapa kila uchaguzi hauniletei matunda, task bar maneno "collecting information" ni kimya, pc yangu ni dell latitude d620, nifanyeje jamen?
 
Fighter

hakikisha HDD Drivers zako zipo sawa, yaani zipo formatted
else, jaribu kuweka Installation disc nyengine, uone, coz kuna uwezekano hii unayotumia ina scratch so kuna some files are missing

all the best
 
two pocblities may b cauzng tha problm, kubwa kabsa ni source ya hyo os(cd or whatever) inaeza kua inamiss baadh ya files, xo inabd uibadlshe, ama cd rom ya pc yako inaeza kuwa nayo ni tatzo hasa hyo lenz, xo jarbu pia kuifuta vyumbi kwa uangalifu, na pia jarbu kubadli selection ya drive unapotaka kuweka os yake n then gv back the rsults.
 
Dah select drivers?. Hata kama CD ya OS ya haina drivers haitakiw kugoma labda ama inakosa kutambua driver muhimu na universal za za HDD na keyboard.


Hebu soma maelezo haya ya hatua kwa hatua za kusimika windows alafu fafanua au tuandikie hapa huo ujumbe unaopata kama ulivyo bila kupunguza au kuongeza kitu ( For googling) . Na eleza unatokea katika stage gani katika hizo step wenye hiyo tovuti.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom