Search results

  1. LA7

    Nilimuoa kwa huruma ya mimba, moto unazidi kuwaka ndani

    Sio kwa huyu mchaga kaka, yaana hata ukila mwezi mzima yy hawazi na hata nikimuonyesha dalili kuwa nataka kwenda nje kuchepuka kwake ni poa tu
  2. LA7

    Nilimuoa kwa huruma ya mimba, moto unazidi kuwaka ndani

    Sijajua shida ni kabila au Nini, lakini Leo nimemchezeshea kichapo sio kidogo. Iko hivi: juzi nimerudi nikiwa nimehemea sikupokelewa nikakausha, Jana nimerudi nikiwa nimehemea nikapondewa vitu nilivyovileta kuwa vimeoza, basi nikasema isiwe kesi kuanzia kesho nitaacha tu pesa sitahemea kitu...
  3. LA7

    Nimeng'atwa na nyoka ndotoni

    Mungu anatenda maajabu siku napanga kuipeleka kwa fundi mwezanga kabla sijaenda on kaijaribu ikakubali mpaka nikashangaa
  4. LA7

    Nimeng'atwa na nyoka ndotoni

    Poleni na majukumu watu wa humu, niende moja kwa moja kwenye mada, Tulikuwa watu zaidi ya watatu, tulikuwa kwenye eneo Kama mbuga hivi ambalo ni nyasi kwa wingi, Sasa ilikuwa ni Kama unachagua pa kukanyaga maana Kila baada ya hatua tatu ni nyoka wakubwa kwa wadogo, Ikatokea nyoka mmoja mkubwa...
  5. LA7

    Kama ningekuwa nakunywa basi leo ningekuwa chakarii

    Habari za humu wandugu, leo hii nimevurugwa sana nisaidieni nipate utulivu, nimeletewa laptop ilizima mwanga nikairekebisha ikawaka tu poa nikaizima na kuifunga, baada ya kumaliza kuifunga naiwasha haiwaki tena ukiwasha inawaka taa tu ya power halafu inazima baada ya sec 5 hata ukitoa betri...
  6. LA7

    Daaah, bodaboda bodaboda...inauma sana

    Kuendesha boda boda ni sawa na kutembea na kitanzi muda wowote deal ✅
  7. LA7

    Niliwaonya hapa hapa kuwa Kawaondoeni Ndugu zenu kwa akina Fally Ipupa na Ferre Gola kwani 'Namba M' hawana Masihara mkanipuuza

    Kawaida kitu ambacho ukifa ni kwamba Kila kitu huna mpaka mke wako unagongewa kwa mambo ya kipuuzi uhai ni one chance
  8. LA7

    Safari yangu ya Mji Mwema ikageuka kuwa ya mateso

    Habari zenu humu ngoja Leo niwape kastory kafupi Nakumbuka nikiwa naishi maisha ya homeless siku hiyo nikiwa pale kigamboni kwenye boti za uvuvi, upande wa chuo cha mwalimu Nyerere memorial Muda wa saa 9 jioni nikachukua baiskel yangu na kuamua kwenda kutembea Mji mwema Nikafika na kuanza...
  9. LA7

    Marafiki zangu 90% wamenizidi umri

    Habari za humu, Mimi tokea nikiwa Mdogo nimejikuta tu nikiwa na marafiki walionizidi umri, ninaposema rafiki namaanisha marafiki wa kweli na ni wajinsia zote. Nakumbuka Kuna kipindi mm nikiwa Bado sijaoa nililetewa kesi ya ndoa mume akiniambia matatizo na mke akiniambia matatizo ya mume...
  10. LA7

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Yaani Kuna watu mwaka huu hawataumaliza sababu ya hii vita
  11. LA7

    Mtoto kawa na tabia isiyonipendeza baada ya kuishi mbali na mimi kwa miezi 3 tu

    Habari za humu wandugu, natumai wengi wenu hamjambo, Mimi ni yule yule ndugu yenu niliyekimbia umande kusoma sikuona dili, Kuna Uzi niliuletaga humu nikijisifia kuwa nimeweza kumlea mwanangu au kumfundiasha kuwa na tabia nzuri akiwa tu na Miaka miwili, Sasa kuanzia mwezi wa 11. 2023...
  12. LA7

    Huwa unachelewa kuamka wakati upi; ukiwa na pesa au ukiwa hauna pesa?

    Kwangu mm nikiwa na pesa usingizi huisha SAA 11 ila nikiwa sina hela au ramani ya kazi usingizi mpaka saa 3 asubuhi
  13. LA7

    Mipango yangu ya kutafuta TSH milioni 2+ ndani ya miezi 18

    Kwanini mkuu wakati kwetu dumu mbili saw a na 12000
  14. LA7

    Mipango yangu ya kutafuta TSH milioni 2+ ndani ya miezi 18

    Kila kitu nimenunua kimoja kimoja mpaka mouse nilinunua kivyake mpaka waya cable Hivo ni mpaka tupige hesabu ila tu kiujumla inakaribia 2 m. Maana ofisi yangu inanitrgemea Mimi zaidi kuliko VIFAA
  15. LA7

    Mipango yangu ya kutafuta TSH milioni 2+ ndani ya miezi 18

    Sawa nitaanza kulifanyia kazi maana Leo pia kuna mtu kaniitia hizo dumu zipo 15 na ananiuzia kila dumu 2000 ila sijapata pesa ntazifuata tu asante.
  16. LA7

    Mipango yangu ya kutafuta TSH milioni 2+ ndani ya miezi 18

    Mm nimechagua ndoo ili nikienda nazo nisizunguke zaidi ya miezi miwili ziishe wiki ina magulio 4 hivo zitaisha tu chap maana Mimi kazi yangu ni fundi electronics
  17. LA7

    Mipango yangu ya kutafuta TSH milioni 2+ ndani ya miezi 18

    Kwangu ni kubwa mno maana sijawahi kuwa nayo mkuu
Back
Top Bottom