Search results

  1. Nakadori

    Nimeamini mjini akili tu

    Salama? Dah kila siku najifunza hapa duniani. NIMEAMINI MJINI NJOO NA AKILI TU, HATA USIPOBEBA NGUO UKIWA NA AKILI UTAZIPATIA MJINI. Sasa basi kuna mzee mmoja niliunganishwa nae anisaidie ishu moja hivi. Sasa bwana nikashangaa sana huyu mzee maisha yake yote anaishi hotelini. I mean kwa siku...
  2. Nakadori

    Ushauri: Ex wangu anaomba turudiane

    Wapendwa nawasalimu. Leo Nakadori mimi nimekuja nikiwa mdogo sana, sio yule mliyemzoea siku zote, naomba kwa nia njema tu mnishauri. Ni ndefu ila naomba msome tu kwakuwa ni story ya kweli kabisa ya maisha yangu.... Nina ex wangu niliyeanza mishe za mapenzi nae 2017 kwa jina ni J, mwanaume...
  3. Nakadori

    Maulidi kitenge: Wanawake wajipaka tumbaku sehemu za siri kupata msisimko wa mapenzi

    Assalam aleykum Kama mnavyosoma hapo inaaminika wanawake zaidi ya asilimia 80 wanatumia tumbaku ili kujiongezea hamu ya mapenzi. Sasa ninachojiuliza ni kwamba mbona vitu vya kuongeza ashki ni vingi sana kwanini watumie ugoro?? Dah Kama wanawake wenzangu hadi tumbaku mnaweka kwa bibi basi mna...
  4. Nakadori

    I hate that I love you: Dedication kwa Chibaba wangu

    Hate That I Love You" Yeah, yeah Yeah, yeah That's how much I love you (Yeah) That's how much I need you (Yeah, yeah, yeah) And I can't stand you Must everything you do make me wanna smile Can I not like you for awhile? (No) But you won't let me You upset me, girl And then you kiss my lips All...
  5. Nakadori

    Nachagua Upendo badala ya Chuki. Mapenzi Matamu๐Ÿ˜

    Leo nimeamka na mood za kutosha kwakweli.....then nikapita kwenye app ya mdada mmoja maarufu aliyekuwa ameelezea namna ya kufanya kwenye mahusiano unapokuwa na mwanaume ili aone upendo wako na how deep you are ili uuwini moyo wake ... jumlisha na hizi mvua za masika plus mziki niliokuwa...
  6. Nakadori

    Hivi wenzetu mnaowapanga wanaume au wanawake huwa mnawezaje

    Wana wa Tanzania amani iwe kwenu. Me Leo wala sina mambo mengi .....natamani tu kujua wale wenzangu mnaowapanga wanawake au wanaume zaidi ya mmoja, wawili au watatu au zaidi mnawezaje? Me ningekamatwa day 1 kwakweli. Yule shost angu aliyetulizwa kimazabe mazabe ndo ilikuwa zake.... yule hata...
  7. Nakadori

    Mbutananga: a sad story to tell kimahusiano

    Waungwana salamu kwanza kama ilivyo desturi yetu. Hii week kwangu ilikuwa hectic kidogo lakini pia nilipata nafasi ya kusafiri hadi kanda ya ziwa ndani ndani huko na kukutana na watu wapya hivyo kupata uzoefu mpya, wabheja sana wanawane. Haya nirudi kwenye mada sasa. Mwanamama anamiliki vitu...
  8. Nakadori

    Kwenu Wanaume mnaozaa na michepuko

    Waungwana na wasio waungwana nawasalimu. Ninaandika haya nikiwa na masikitiko mengi sana... Niko kwenye tukio moja la kifamilia ambapo imelazimu watoto wote wa mji husika kuwepo. Ni tukio kubwa kiasi kwamba hata sisi tusio ndugu tumeshiriki. Nimeumia kuona katoto ka nje ambako kwa makadirio...
  9. Nakadori

    Aisee kuna wanaume wavivu

    Waungwana salama, Yaani week nzima unajiandaa kula tunda na mwenza wako halafu anakuja anakupa kifo cha mende kimoja (style ya mvivu) chaliii amelala hadi asubuhi nguvu hana tena. Unahangaika weee kumuamsha ndo ashalegea hvyoo yani bao moja na kulala fofofo. Naomba mnielewe yanii anapokojoa...
  10. Nakadori

    Ngoja niwasaidie mpate partners kirahisi

    Yani Jamii Forums ina watu zaidi ya 500000 unakosaje hata wa kukudanganya danganya. Sasa we andika comment yako halafu atakayelike comment yako au utakayevutiwa naye mfwate inbox anzeni kuwasiliana hadi pale mtakapofikia. Hata waki like 10 utachuja mbele kwa mbele makapi na ngano. Vigezo na...
  11. Nakadori

    Eti twende hivyo hivyo nitambadilisha

    Waungwana naona hii weekend inaishilia hivyooo ila siko poa kabisaaa nahisi moyo unaungua huko ndaniii. Sasa turudi kwenye hoja ya msingi..... Unakuta mtu ana mwanamke au mwanaume wake...anajua kabisa huyu mtu wake ana tabia flani tata lakini anakomaa tuu kwa matumaini kwamba atambadilisha...
  12. Nakadori

    Nimeamini kila shetani na mbuyu wake

    Waungwana natumaini mko salama. Basi bwana week end hii nikasema ngoja niibukie porini kidogo nikacheki watu wanaishije ishije huko pamoja na mishe nyingine nyingine. Shida ilianza baada ya kuchelewa kuamka na kukuta muda wa magari ya uhakika yanayoweza kunifikisha kwa wakati na nikarudi...
  13. Nakadori

    Dawa gani ya kusafishia nywele iliyosukwa isiwe na harufu ya uvundo?

    Warembo wa jukwaa hili naomba kujua dawa au spray ya kusafishia nywele zilizosukwa ili kutokuwa na uvundoo. Asanteni
  14. Nakadori

    Tanga: Mwanaume anyanyaswa na mwanamke kwa miaka 7

    Bwana Saidi mkazi wa Jijini Tanga anaelezea alivyonyanyasika na mkewe ambaye kwa sasa amemuacha na kuivunja ndoa yao kwa Kadhi. Huku bado manyanyaso hayo yakiendelea baada ya mkewe kutaka nyumba waliokuwa wakiishi iuzwe wagawane mali. Majirani wamesema mwanaume huyo alikuwa akimpenda mkewe hadi...
  15. Nakadori

    Hongereni Air Tanzania

    Habari zenyu wana wa nchi ya Tanzania? Nipende kuchukua nafasi hii kuwapongeza wafanyakazi wa air Tanzania ofisi ya posta karibu na supermarket ya imalaseko kwa huduma yao nzuri iliyotukuka. Hii ndio aina ya huduma tunayoitaka tunapotaka huduma kwenye mashirika ya umma. Hawa watu wanahudumia...
  16. Nakadori

    Wanawake fanyeni haya badala ya kukaa peke yako nyumbani fanya haya

    Leo baada ya kutoka kazini , au uko home? Uko single na Una ki alf 30000 au 50000 chako mahalii ... Amka, oga vizuri, vaa nguo nzuri upendezee sana , vaa na high hills matata kulingana na hako kanguo kako, then jipulizie marashi yako mazuri...iwe oud, perfume au spray yenye harufu tamu. Ita...
  17. Nakadori

    Happy Valentine's in advance dear

    Happy Valentine's day in advance dear MMU members... In particular, a very special Valentine's day goes to all my JF babies and buddies ๐Ÿ’•๐Ÿ’–โค๐Ÿ’—๐Ÿ’“๐Ÿ’œ๐Ÿ’•๐Ÿ’–โค๐Ÿ’—๐Ÿ’“๐Ÿ’œ๐Ÿ’•๐Ÿ’–โค๐Ÿ’—๐Ÿ’“๐Ÿ’œ๐Ÿ’•๐Ÿ’–โค๐Ÿ’—๐Ÿ’“ Enjoy responsibly
  18. Nakadori

    Utafiti waonyesha wanaume wenye vipara wanawavutia sana wanawake kuliko wenye nywele

    Kuna vitu vingi humvutia mtu inapokuja swala la kumchagua mpenzi, siwezi taja sifa zote, kila mtu anasifa zake na vigezo vyake, ila ngoja tuongelee mvuto wa kipekee unaopatikana kwa wanaume wenye vipara. Nikiongelea vipara naongelea wale walio na vipara asili, achilia mbali wale wanaopenda...
  19. Nakadori

    Sijakuchukulia mkeo nimemuokota kwenye jalala la moyo wako

    Najua huwezi kuamini kua mimi sijakuchukulia mkeo na kwa taarifa yako sikujua kua alikua nimkeo. Siku ya kwanza nilipokutana nae nimkuta anauza mihogo kando kando ya barabara huku kijasho chembamba kikimtoka, Nilimtazama nikiwa ndani ya gari na nilipozidi kumuangalia niliona kama vile...
  20. Nakadori

    Unajua kwa mwanamke nywele za sehemu za siri na kwa mwanaume ndevu zina kazi yake kunako?

    Je wajua kuwa nywele za chini na ndevu ni urembo wa kimahaba? Mwenyezi Mungu alituumba na kutuwekea hivyo akiwa na maana kabisa ila sasa binadamu wa leo wamestaarabika kiasi waonaona ndevu au mavuzi ni uchafu tena uchafu sana. Mwanaume akiwa na ndevu anaonekana mchafu sana, au ikiwa ni mwanamke...
Back
Top Bottom