Search results

  1. W

    Alama ya "h"

    Habari wakuu nina nokia asha 303 kuna alama hapa juu karibu na bars za network haka kanabadilika mara "E" tatizo nikinunua kifurushi hakikai hata nisipo peruzi nakuta kimeisha kabla ya wakati wake nisaidieni jamani namna ya kukiondoa...
  2. W

    Nokia e71 na Nokia asha 303

    jamani nimepokea zawadi ya simu mbili moja ni Nokia e71 ipi ni bora kwa kuperuzi na uimara na Nokia asha 303 moja kati ya hizi nataka kumgei bwana mdogo me nibaki na imara kwa kuperuzi Natanguliza shukrani,,,,
  3. W

    I phone4 imeroga

    Msaada jamani iphone imeroga inatoa sound tu! Haisogei mbele wala nyuma ku crick ni double one click,, Program zilizipo chini hazipandi juu wala haziende left or right,,, plz msaada jamani.
  4. W

    Naogopa kuficha maradhi

    Wakuu hapa kijana mwenzenu naumia,,,huwa nina kawaida ya kufanya mazoezi asubuhi na mapema so huwa nawahi kuamka,, Basi juzi nilikua nimedamka mapema kwa ajili ya kupasha mwili, cha ajabu nikajihisi mzito sana yani mchovu nikaruka kamba na kupiga pressup basi ile nikaenda kuoga nikajishika k...
  5. W

    Kwa mtaalamu wa sheria za ardhi Tafadhari

    Heshima zenu wakuu,, Jamani naomba msaada wa hili swala, kuna jirani yetu hapa kwa bi mkubwa amejenga nyumba so kuna sehemu ya nyuma amejenga fensi kiasi cha kwamba maji yote yanakuja upande wa kwetu,,! Tumejaribu kuongea nae anajibu ikibidi atupatie fedha yaani atuvue nyumba,, tumejaribu...
  6. W

    kiwanja kinahirajika

    Wakuu heri ya mwaka mpya,,, wakubwa kwa kuanza na huu mwaka nimeamua kufikiria kujenga jijini mbeya,,, basi nitaomba kwa wale wadau mjuapo ni wapi naweza pata kiwanja cha plot hii ni kuanzia Soweto to Uyole na ndani ya hii sehemu kama Isyesye na maeneo yake nawasilisha wakuu.
  7. W

    Nimeamini kweli ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi

    Ni juzi tu hapa nilipata mshtuko baada ya kupokea simu toka kwa jamaa yangu wa karibu simu iliyosababisha nipoteze mwelekeo barabarani na kujikuta ndani ya mtaro. Ilikua tarehe 26/12 baada ya shamra shamra za hapa na pale za x-mass nikiwa najamaa yangu Criss tumetoka gym tulipitia Zone club...
  8. W

    Nmb nashindwa kuwaelewa

    Wadau nimeishi nje ya nchi kwa miaka mitatu na bado nipo huku, tatizo ni hivi wakti nakuja huku niliko niliacha ankaunti yangu ikiwa na laki tano kuilinda mda wa miaka mitatu mwaka jana nikatuma mtu anifanyie diposit kufika huko akaambiwa akaunti imefungwa, nacho jiuliza itawezaje fungwa na...
  9. W

    Nisaidie jamani

    Ni kama week ya pili sasa tangu nitoke nyumbani TANZANI nakufika hapa LUSAKA ninajisikia homa kali kali nikajua ni maralia nimekunywa dawa Sp, bado najisikia vibaya mbaya zaidi miguu inakua inawaka moto kinywani najisikia uchungu nakosa choo ni week 2 sasa jamani naombeni msaada.
  10. W

    msaada wa mawazo yenu

    me ni kijana mtanzania niishie nje ya nchi,,, kutokana na utafutaji wa maisha ndugu zangu ninaposema naombeni msaada wenu,,, me ninapenda sana kusoma but kwa bahati mbaya nimeishia darasa la saba ila napenda sana kujiendeleza je nitawezaje kujiendeleza na nijiwa nje ya nchi? Msaada wenu ndugu...
Back
Top Bottom