Search results

  1. OKW BOBAN SUNZU

    LISSU: ZANZIBAR NI KOLONI LA TANGANYIKA

    Tena alichofanyia utafiti
  2. OKW BOBAN SUNZU

    LISSU: ZANZIBAR NI KOLONI LA TANGANYIKA

    Huwa raha sana kumsikiliza Lisu akichambua mambo
  3. OKW BOBAN SUNZU

    Nilisema Makonda haendi mbali kwenye uenezi wa CCM na sasa kwenye ukuu wa mkoa pia itakuwa hivyo

    Hiyo ni sawa na mtu anapakwa mafuta makalioni halafu anasema anatabiri anataka kuingiliwa.
  4. OKW BOBAN SUNZU

    Tanasha Donna afanya oparesheni ya urembo wa mdomo

    Mdomo ni kwa ajili ya kula au kunyonya? Angejiuliza kwanza hapo
  5. OKW BOBAN SUNZU

    Ushahidi: Tanzania inaongozwa na Viongozi Wasio na Sifa za kuwa viongozi

    Mtu kama Nape ana maono gani? Ni kama reporter tu wa wizara
  6. OKW BOBAN SUNZU

    Kwanini Paul Makonda anautafuta wokovu sasa kwani ametenda dhambi gani inayomtafuna?

    Hao ni chawa wa Bashite, hakuna kiongozi hapo
  7. OKW BOBAN SUNZU

    Bariadi: Wanafunzi wavunja masomo na kuzuia Msafara wa Mbowe, wampigia Saluti

    Una habari kama Magufuli aliwahi kuvuruga chuo fulani mpaka kikafungwa kwa sababu kiliruhusu Rais wa wanafunzi alikuwa Chadema?
  8. OKW BOBAN SUNZU

    Bariadi: Wanafunzi wavunja masomo na kuzuia Msafara wa Mbowe, wampigia Saluti

    Heshima ya Mbowe nchi hii ni kubwa kuliko rais. Sema rais ana dola, ukimuondolea dola anakuwa kajamba nani tu
  9. OKW BOBAN SUNZU

    Bariadi: Wanafunzi wavunja masomo na kuzuia Msafara wa Mbowe, wampigia Saluti

    Enzi za Magufuli hiyo shule ingefutwa
  10. OKW BOBAN SUNZU

    Upendo wa Mama ni muhimu lakini Upendo wa Baba muhimu sana pia

    Angalia watoto waliolelewa na mama pekee au baba&mama lakini mama ndio mwenye sauti, utaelewa jamaa ana hoja nzuri
  11. OKW BOBAN SUNZU

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Bashite ni zero brain anayetegemea bullying
  12. OKW BOBAN SUNZU

    Nini kifanyike ili elimu ya Tanzania iende na mahitaji ya soko la Ajira?

    Toeni kwanza CCM madarakani, kwa sababu inanufaika na mfumo uliopo. Inafaidika na wingi wa wajinga
  13. OKW BOBAN SUNZU

    Hii video ameipost msanii Roma. Je, una maoni gani kuihusu?

    Anayehoji hana uelewa, anayehojiwa hana uelewa. Hizo ni eligible sitting allowance
  14. OKW BOBAN SUNZU

    Ni upuuzi kuongea mambo ya ofisini kwenu maeneo ambayo hayahusiki na kazi

    Leo kidogo nitakuwa mkali Nina mashaka kama bado ofisi za umma zinafundisha watumishi wake miiko ya kazi. Sina uhakika kama hawa watu wanakumbushwa namna ya ku behave wakiwa maeneo tofauti na ofisi zao. Unakuta maafisa wapo bar au sehemu ya chakula au hata kwenye basi, wanaongelea masuala ya...
  15. OKW BOBAN SUNZU

    Ubaguzi ninaoupata Zanzibar, wakija Dar nitawapa haki yao

    Huu muungano inabidi upate majasiri wa kuongoza jahazi uvunjike
  16. OKW BOBAN SUNZU

    Serikali iitishe kura ya maoni Wazanzibari waamue upya kama wanautaka muungano ili isionekane tunawalazimisha

    Serikali haijawahi kuwa na msaada kwenye chochote. Kama Warioba aliwatafunia na bado wakashindwa kumaliza kazi unategemea nini? Watanganyika ndio mnatakiwa kuchukua hatua. Bahati mbaya huwa hamna cha kufanya kwenye mambo muhimu
Back
Top Bottom