Search results

  1. Mb-one

    Wapi naweza kupata hii mifuko kwa bei ya jumla

    Wakuu habari Msaada: Naweza wapi nikapata aina hii ya mifuko kwa jumla na bei yake ikoje kwa hapa Dar....imeandikwa AL KHALEEJ SUGAR na mengine inaitwa WFP Nawasilisha
  2. Mb-one

    Nataka kuagiza gari ila imetembea zaidi ya kilometer 200,000

    Hello wakuu Nataka kuagiza X-Trail new model 2007, ila tatizo ni kuwa ina kM zaidi ya laki 2. Sasa nakuwa na wasiwasi, je inaweza ikawa engine yake haijachoka. Kuna mtu kaniambia road za wenzetu Japan hazina shida Kama huku bongo. Hebu naomba ushauri wenu wakubwa wa kazi.
  3. Mb-one

    Fuel consumption ya Nissan x trail 2007/2008 ikoje?

    Wakuu habari, Poleni na janga la corona. Nilikuwa nauliza kuhusu matumizi ya mafuta ya hi gari Nissan xtrail 2007 au 2008 ikoje kiuhalisia kwa wale waliotumia hii gari au wanijua vizuri. Kutokana na specification Yake ni 1990CC Nitashukuru \
  4. Mb-one

    Nimetoka mkoani nimekuja Dar;kuna wadada warembo kila kona

    Habari wakuu Aiseeh nmekuja dar kutoka mkoani kwa likizo,ni kitambo kidogo sjafika,naona miundo mbinu ya kutosha...heko kwa baba jesca...yaan ile nmeshuka ikabidi nianze mizunguko ya mtaan kwanza aseeh aseeeh sijawahi ona wadada warembo hivi,i feel like am from a zombie land nmeletwa kwenye...
  5. Mb-one

    New LG g5 inahitajika

    Kwa wauza smartphone,lg g5 mpya genuine inahitajika...kwa anayeuza anicheki PM
  6. Mb-one

    My journey: Utafiti na kujua ukweli kuhusu treasures/mali kale zilizoachwa na wajerumani wakoloni

    Habari wakuu... Natumaini ni wazima poleeni na mahangaiko ya shughuli Turudi kwenye kichwa husika. Kama kawaida Ningependa kushare nanyi kile nilichokiona na nakujifunza na kupata uzoefu mdgo..na zile mastori zinazoelezwa kuhusu mali kale au treasures zilizoachwa na wakoloni wa kijerumani baada...
  7. Mb-one

    Natoa rai kwa serikali kuanzisha migodi yao yenyewe 100% shares

    Naomba kutoa rai kwa serikali ya awamu ya tano, kwa sababu rasilimali ni za kwetu. Basi waamue kufungua migodi yao yenyewe ya dhahabu, almasi na tanzanite na madini mengine. Inajulikana biashara ya uchimbaji ni 'risk business', basi wapangue STAMICO upya halafu waanzishe ya kwao ili kupunguza...
  8. Mb-one

    Niulize chochote kuhusu Uchimbaji Mdogo wa Dhahabu na mambo mengine yanayohusiana na hayo

    Heri wakuu. Poleeni na mihangaiko. Mimi ni kijana Mjiolojia na nina uzoefu wa uchimbaji mdogo wa madini ya Dhahabu na Vito vya Thamani yaani Gemstone. Ningependa tupeane ushauri na kama kuna wakuu wengine wanajua hasa hii kazi mnakaribishwa, nakaribisha maswali ya kitaalam (expertise) na yale...
  9. Mb-one

    Forbes: Africa's Richest Man Faces Challenges In Tanzania; Shuts Down Cement Plant

    Africa's Richest Man Faces Challenges In Tanzania; Shuts Down Cement Plant My take TZ ISHAJIHARIBIA....MORE THAN 10000 TZ people wamekosa kazi na soko la cement la dangote lilikuwa 22% east africa
  10. Mb-one

    Colombia plane crash: 75 dead on Brazil soccer team's charter flight

    Colombia plane crash: 75 dead on Brazil soccer team's charter flight - CNN.com
  11. Mb-one

    Nahitaji lg g2 touch screen digitizer

    Wakuu Lg g2 yangu imesumbua touch screen digitizer....bei yake ni ipi na kufanya replacement pia Note:bei iwe affordable maana nshashindwana na mafundi wapigaji, Asanteni
  12. Mb-one

    tunauza barafu za kupoozea vinywaji jumla na rejareja

    Tanz-ice ni watengenezaji na wauzaji wa barafu kwa ajili ya kupoozea vinywaji kwenye harusi, mahafali, matamasha, migahawa na pia watu binafsi, Barafu zetu haziyeyuki kwa haraka , tunatumia mashine maalum kugandisha kupitia njia za kisasa(modern systems), Tunauza kwa jumla na rejareja Barafu...
  13. Mb-one

    Jinsi ya kuweza kuthibitisha vyeti vya NACTE

    Kuna ndugu yangu anaulizia jinsi ya kuweza kuverify (kuthibitisha) vyeti vya NACTE. Sasa sijui wanatumia procedures zipi nawasilisha swali kama nlivyoulizwa
  14. Mb-one

    Naomba kujua bei ya gunia la viazi vitamu kwa Dar es Salaam

    Wakuu habari Kwanza poleeni kwa mahangaiko ya juma lililopita na MUNGU awapatie nguvu kwenye juma hili jipya. Naomba kujua bei ya viazi vitamu kwa gunia, bei ya kununulia kwa dsm na pia bei ya kuuzia viwandani hasa viwanda vya biscuits Natanguliza shukrani
  15. Mb-one

    Tunauza apples kwa jumla kutoka South Africa

    tunauza fresh apples(true cape) kwa bei ya jumla,zipo box pack size 90,100 na 110..tupo mwenge mkabala na efatha bank,dar es salaam ; tunapokea order za mikoani contact:0717 163106,0756 090222,0714 961661 price:65000,tunafanya delivery popote ulipo dar es salaam price
  16. Mb-one

    Coldroom containers zinauzwa

    20 feet coldroom containers zinauzwa zipo tatu (3), kila moja inauzwa million 9. Serious buyer . call:0652 206863 au 0714 961661 au ni PM
  17. Mb-one

    Tunauza barafu kwa ajili ya sherehe, mahafali, matamasha na watu binafsi

    Kampuni ya TANZ-ICE ni watengenezaji na wauzaji wa barafu kwa ajili ya sherehe, mahafali, matamasha, na watu binafsi, barafu ni makubwa na magumu kuyeyuka,yanapatikana kwa wingi. Tunatumia mashine za kisasa kugandisha. Bei ni 1000/= tu! Tupo mwenge mkabala na Efatha Bank. Kwa kuweka order...
  18. Mb-one

    Tanz-Ice: Tunatengeneza na kuuza barafu kwenye harusi, mahafali, matamasha n.k

    Tanz-ice ni watengenezaji na wauzaji wa barafu kwa ajili ya harusi, mahafali, matamasha, migahawa na pia watu binafsi, Barafu zetu haziyeyuki kwa haraka , tunatumia mashine maalum kugandisha kupitia njia za kisasa(modern systems), Tunauza kwa jumla na rejareja Barafu zinapatikana kwa wingi...
  19. Mb-one

    original samsung NOTE 2 mpya inauzwa 350000/=

    galaxy note 2 inauzwaa mpya kabsa kwa bei ya kawaida 350000/= kwa mawasiliano na kupata picha call 0652 206863 karibu
  20. Mb-one

    Msaada:samsung note 2 gt-n7100 inagoma kukamata 3g/h+ inakubali g tu

    habar wakuu naomba msaada ma expert kwenye hili, nmenunua note 2 , tatizo nikiweka line ya tgo, alafu settings nikiweka WCDMA only network bar znashuka haraka, ila nikiweka GSM ONLY mtandao unaonyesha G , nkiweka WCDMA/GSM mtanndao unaonyesha G , nmejaribu line zote za tgo, voda na airtel...
Back
Top Bottom