Search results

  1. B

    Maoni ya Wadau baada ya Hotuba ya Rais Kikwete kwa 'Wazee wa Dar' kuhusu Sakata la Tegeta Escrow

    Nlijiuliza maswali machache jana. 1. Anasema kesi ya pili ya malalamiko ya ukokotoaji wa capacity charge tanesco hawakuipeleka wao mahakamani uingeleza kama walivyofanya kesi ya awali, bali ilipelekwa na standard chartard bank, hivyo maamuzi ya kesi ile tusiyalalamikie kwamba serikali...
  2. B

    Naomba kutoa hoja kuhusu suala la Mbatia

    ), mihutasari (syllabuses), vitabu vya kiada na ziada (course books and supplementary bks) na EMAC (educational materials approval committee). alisema taifa lina sera ya elimu lakini ina umri wa miaka 17. alishauri ifanyiwe marekebisho. kuhusu mitaala alisema kuwa taifa halina mitaala...
  3. B

    Suala la gesi mtwara maana yake wananchi wanataka serikari ya majimbo

    kama serikali inaona wananchi wa mtwara ni wabaguzi kwa kudai kunufaika na rasilimali gesi inayowazunguka, basi ifanye hvo hvo kwa rasilimali zote, kwa mfano. Ijenge bomba la kusafirisha dhahabu toka arusha, mwanza, shinyanga, chunya kwanda dar, pia ijenge bomba la kusafirisha wanyama...
  4. B

    Mkweli ukweli hujamtendea haki Dr. Slaa pamoja na CHADEMA

    tusililaumu raia mwema kwani lenyewe linachapisha makala za kila upande, mara nyingi linakuwa katikati, ndo maana limechapisha pia majibu yaliyotolewa na arcado ntagazwa kuhusu makala ile!
  5. B

    Mkweli ukweli hujamtendea haki Dr. Slaa pamoja na CHADEMA

    MKWELI UKWELI HUJAMTENDEA HAKI DR. SLAA PAMOJA NA CHADEMA Ukiisoma Makala ya ndugu MKWELI UKWELI katika gazeti la Raia mwema toleo namba 259 utagundua sio tu kwamba ndugu Mkweli ana chuki binafsi na DK. Slaa na chama anachokiongoza cha CHADEMA bali pia haitakii amani nchi yetu kwa kuto...
  6. B

    Ukiisoma hii ni lazima uanzishe ubishi huko uliko...

    ndani ya nchi hatembei nayo , lakini nje anakuwa nayo
  7. B

    Nikijiuzulu hamtapata waziri kama mimi - Nchimbi

    ni kulewa madaraka tu huko, uwazir mkuu upi wakati hata ubunge hatapat? namtabiria kuwa rc
  8. B

    Majibu ya Kigwangalla: Kwa Nini Sikusaini Hoja ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe (MB)!

    muheshimiwa kigwangala utetezi wako ni sawa na majibu ya wazir wa afya na katibu mkuu wake mama nyoni wakati mko kwenye mgomo wa madactari, majibu yako ni mepec sana na hayana nguvu kabsa, Najua moyono kiukweli upo ma1 na zito, lakini kwa kuwa unataka kulinda ki2mbua chako kicingie mchanga...
  9. B

    Utetezi wa Maige unaniletea maswali mengi kuliko majibu!

    Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi la juzi, maige anasema nyumba aliyonunua amenunua kwa mkopo kutika crdb bank, na kwa mliosoma lile gazeti mtakuwa mmeuona mchanganuo wote alivyoeleza, cha ajabu ni kwamba anasema amekopa bank sh 200 millioni, lakini ni maige huyohuyo aliyetoa sh. milioni 500...
  10. B

    Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

    Hata kama hoja ya zito itashindwa, lakini ameonyesha uthubutu na ujasir wa wa hali ya juu! nae analijua hilo kuwa itakuwa ngumu ila anachotaka ni kuonensha hisia za hali ya juu kuwa anakerwa na utendaji wa mambo wa wazir mkuu!
  11. B

    Zito umeonyesha ujasiri, lakini!

    Nadhani wengi tunajua alichokisema mh. z. kabwe jana bungeni alipokuwa anahitimisha hoja ya kamati ya mashirika ya umma. zito alisema anakusudia kukusanya sahihi za wabunge 70 ili aweza wasilisha hoja ya kutokuwa na imani na waziri mkuu. Ameonyesha ujasiri na hisia kuwa anachukizwa na utendaji...
  12. B

    Maoni Binafsi: Ujio wa Bwana James Ole Millya ndani ya CHADEMA

    kaka we ni noma, na ni mchambuzi wa kweli, big up!
  13. B

    Hekalu la Spika wa Tz

    mi naona ni sawa, kama spika angekuwa ni 6, coz aliendesha bunge kwa manufaa. hata ivo naamini ma-njiwa ataishi coz ameshaanza kutengeneza njia kwa kutetea posho.
  14. B

    Rushwa na uraia wa Siyoi, CCM watafutana uchawi badala ya kujibu HOJA

    wamwache tuu agombee mana najua atashindwa kwa j. nasari
  15. B

    Kama kuna kitu nisichomuelewa Pinda basi ni hiki!

    Ndugu pinda anawaona madaktari kuwa watu wasio na utu kwa kugoma kuwatibu watanzania mpaka pale waziri mponda na naibu wake wajiuzuru. kwa upande wangu mi naona pinda ndo mtu asiye na utu kwa kugoma kuwachukulia atua waziri na naibu wake hata kama watanzania wataendelea kufa, yaani kuwambia tu...
  16. B

    Hatimaye Hamad Rashid, Shoka Hamis na wenzao wawili wafukuzwa CUF!

    katika tanzania hamad rahid ni mmoja wa wanacasa ninaowaamini na kuwakubali, lakini kwa hili cjui shetani gani kamuingia, mimi naamini kweli kuna mkono wa pin...... na low.......
  17. B

    Suala la posho - Nkamia na CCM wengine kuwa na aibu!

    Niliusikiliza kwa makini sana mjadala wa posho za wabunge A.mashariki na kati uliokuwa unarushwa hewani na radio bbc, nilishikwa na bumbuwazi nilipokuwa nasikia hoja za utetezi za nkamia kuhusu posho. Hoja ya kuwa zito amepokea posho bunge lililopita kwa nini sasa anakataa. kwa msomo na...
  18. B

    Nionavyo mimi - Miaka hamsini ijayo

    Kama ndani ya miaka 40 tu ya uhuru tulithubutu, tuliweza na tunasonga mbele kuua viwanda vya ndani, nadhani miaka 50 ijayo hatutakuwa na kitu!
Back
Top Bottom