Search results

  1. chuchunge

    Kanisa la Kiinjili la Kilutheri lijitathmini kwenye miradi yake

    Ninaandika kwa masikitiko makubwa kama Mlutheri jinsi miradi ya ELCT inavyofanya vibaya na mingine kufa kabisa. Hospitali ya Selian iliyojengwa kwa pesa za wafadhili na mkopo wa CRDB ni hospitali nzuri yenye ubora na iliyokua ikihudumia hadi mikoa mingine,haifanyi vizuri na kushindwa kulipa...
  2. chuchunge

    Mganga Mkuu wa Serikali ajiongeze na kujiamini

    Nimekuwa nikimsikiliza Mganga Mkuu wa Serikali Dr. Nagu pindi anavyotoa taarifa haswa ya ugonjwa huu wa Marburg. Namuona hajiamini na anashindwa kuwa detailed na composed. Ushauri wangu kwake ajiongeze na kujua content mapema as anaonekana viatu alivyovaa ni vikubwa. Leo Waziri Ummy imebidi...
  3. chuchunge

    TANZIA Dkt. Casper Haule wa Hospitali ya Taifa Muhimbili afariki dunia

    Alikua head wa Breast Unit Muhimbili,Dr humble na Muugwana,amefariki jana kwenye msiba wa mdogo wake baada ya kuaga mwili akaishiwa nguvu. Nitakukumbuka kwa kunihudumia bila kuchoka mpaka nikapona,amehudumia pia wamama wengi wenye vimbe mbalimbali kutoka kila pembe ya Tanzania. Mungu amlaze...
  4. chuchunge

    Utapeli wa kazi unaopostiwa na wahalifu wa mtandao -Zoom Tanzania

    Naomba niwaalert job seekers kwamba kuna watu wanapost kazi Zoom Tanzania kwa kutumia jina la Organization ya World Direct kitu ambacho sio kweli as ukishaapply wanataka ufanye PAR test na kulipia almost 125,400 ya Kitanzania kwa ajili ya certificate, nimewasearch na kuona wanatumia majina...
  5. chuchunge

    Uber imeanza kuingiliwa na matapeli

    Niliita Uber week iliyopita Ubungo bus stand ikaja IST ya silver inaendeshwa na mdada, akanipeleka nilipokua naenda msasani, kufika anashindwa kunionyesha bei ananiambia tu ni elfu 11. Kwakua nilikua nawahi nikampa elfu 12 akawa hana chenchi nikamwachia, nimemaliza nilichokua nafanya nalog tena...
  6. chuchunge

    Rebeca Gyumi anastahili recognition

    Rebeca ni mwanamke wa kitanzania na mwenye umri mdogo kulinganisha na mambo aliyoyafanya kwa ustawi wa wasichana wa tanzania kupitia shitika lake la msichana initiatives. Aliweza kuchallenge serikali kipengele cha ndoa kwa msichana katika umri wa miaka 15, amepata UN awards usiku huu na amekua...
  7. chuchunge

    Adv.Mwale wa Arusha

    Wanajukwaa,mwenye taarifa kama Adv.Mwale wa Arusha kama naye ni miongoni mwa waliosamehewa jana.Huwa nikiangalia mazingira ya kesi yake na maamuzi ya mahakama naonaga kama kuna mkono wa mtu. Naomba mwenye taarifa pls atupe updates.
  8. chuchunge

    Wakati Lissu akitibiwa, mbunge Kingu anagawa vitanda jimboni kwa Lissu

    Wakati Mh.Tundu Lissu akiendelea kupata matibabu Nairobi,Kingu yupo busy kugawa vitanda jimboni mwa Tundu Lissu mara kusimamia uchaguzi wa UWT akiwa na maaskari wenye bunduki na sijawahi kuona hata mara moja akimuombea Tundu Lissu tofauti na Nyalandu.Huyu bwana mdogo amenifanya nimtizame kwa...
  9. chuchunge

    Joyce Kiria ameachana na mumewe?

    Nimekua nikiona post zake mara kwa mara akisema single life na akishauri wanawake wenzake kutokukaa kwenye ndoa zenye matatizo,hizi statement mbili hizi zinaonyesha kuna walakini kwenye marriage yake.
  10. chuchunge

    Agha Khan Hospital Morogoro huduma zenu zahitaji kurekebishwa

    Nimeenda leo Agha Khan Morogoro,reception wanapaswa kufungua saa 2 asb mpaka saa 2.32 bado tu wanajizungusha na kupiga story mpaka unawaomba jamani tunahitaji kuhudumiwa haswa receiption,mdada ana attitude as if huduma tunapewa bure kumbe tunalipia,anapiga story na wenzake na kuacha...
  11. chuchunge

    Irene Uwoya

    Kwa macho yangu nimemshuhudia Irene Uwoya Novotel Mount Meru weekend hii akiwa na predeshee mashuhuri wa Dar wakiwa wamekuja kula maisha,hawa wasanii hawa!
  12. chuchunge

    Mengi with Ntuyabaliwe

    Jana kwenye mazishi ya Mh Sumari nilimshuhudia Mengi Akiwa na Jackline Ntuyabaliwe kama mtu na mkewe.Sielewi huyu mzee anafundisha nini vijana wa taifa hili bila hata aibu,age difference ni mtoto wake wa mwisho.
  13. chuchunge

    Leo Nimeshangaa sana

    Wana JF, Hope mu wazima,leo asubuhi nikiwa natokea kwangu maeneo ya njiro,nilipita nje ya nyumba ya Mheshimiwa Fatma Makongoro Nyerere anayojenga karibu na General Tyre,Wafungwa walikua ndio wanapanga concrete tiles chini asubuhi ya saa 2,Ninajiuliza kwa maadili ya viongozi ni sahihi kutumia...
  14. chuchunge

    Tanzania wasindikizaji

    Kama kawaida yetu tumesindikiza Miss World kwa kutolewa mapema,even kipengele cha beauty with purpose tumeshindwa while tuna matatizo mengi ya kijamii,ghana amefanya vizuri kwa kuelezea matatizo ya watoto yatima.
Back
Top Bottom