Search results

  1. T

    Madodoki-loofah, wapi naweza kuyapata(kununua) Tanzania?

    Wakuu natanguliza shukurani, Natafuta madodoki,yalipo,yanapouzwa au yanapoweza kupandwa na kukua kwa wingi nchini Tanzania. Natanguliza shukurani,niko njiani kukimbia umasikini. TMK.
  2. T

    Babu Seya/Papii Nguza kweli walibaka? Tukielekea kureview kesi yao oct 30

    Wakuu mimi mbona kama sielewi,shida iko wapi?Kama alibaka anastahili adhabu.Kama wengine wanavyosema kama alimla mke wa mtu si anastahili adhabu pia?Au ungekuwa wewe ndie umeliwa mke,ungempa mkono jamaa eti amekuzidi kete?YOTE ni makosa na yanastahili adhabu kali hata kama ni ya kuonewa.Lakini...
  3. T

    Uko kwenye ndoa zaidi ya miaka 5?naomba ushauri.

    Ndg zangu wana JF, Hivi mtu akiomba msaada wa ushauri ni busara kumtukana kwa kosa alilolifanya au unampa ushauri -uwe mzuri au mbaya? Mimi nilichouliza wengi wamenijibu lakini nasikitika na pretenders! I had a friend ambae mke wake alitaka kumkata shingo-kwa kisu kwa sababu ya ulevi na kurudi...
  4. T

    Uko kwenye ndoa zaidi ya miaka 5?naomba ushauri.

    Asanteni ndugu zangu wana JF! Nilikuja hapa kuomba ushauri nikijua ni mkosefu. Lakini mwanume anayeniita mimi mjinga,sina akili, sina dini-namuombea asije kabisa akapatwa na mwanamke wa design hii iliyoniangukia, na sijui kwanini wanaume wengi hujidai wao ni wataalamu wa kukwepa wanawake...
  5. T

    Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    jamaa ana ki English kibaya hata kukisikiliza ilikuwa inakera.
  6. T

    Uko kwenye ndoa zaidi ya miaka 5?naomba ushauri.

    Salaam wakuu, Hii ndoa ina miaka 7,watoto 3. Tatizo la kibinadamu-kama walivyo baadhi ya binadamu wengine,bwana akapata mpenzi,akazaa nae. Akawa akijitahidi kutimiza mapenzi sehemu zote 2 na matumizi nyumbani, lakini baada ya kujulikana siri , mke wa ndoa akazua vita kali na akaamua kuingia...
  7. T

    Nahitaji used 5 drs RAV4 any yr between 1999 mpaka leo, offer 8.5M

    Wakuu nisaidieni na mimi niingie njiani,nahitaji nianzie kwenye used RAV4-auto au manual/5 doors/any color/Km1-100,000. Ili mradi iwe kwenye hali nzuri kwenye engine na bodi,tyre na usafi wa kuridhisha. naanzia kwenye 8.5Million(8,500,000). BIMA SIO MUHIMU, NITAENDESHEA huku huku.unaweza kuni PM...
  8. T

    Kwaherini wenzangu!

    Nawashukuru wote walionipa faraja, walionitukana,walioniombea na walionitakia mabaya na wote walioniaga. Hivi sasa niko mafichoni kwa level za uswahilini ingawa najua ningekuwa na thamani kubwa ningepataikana. Nilifuata ushauri wa baadhi ya ndugu na sasa niko mbali kabisa na sehemu ya tukio na...
  9. T

    Kwaherini wenzangu!

    Nawashukuru sana, Kwa ambao wako tayari kuniaga na ambao wamejidai wako safi kwenye mambo haya,pia nawashukuru, lakini nakubali kabisa tamaa mbaya-:embarassed2:,na alinitamanisha mpaka akanizidi nguvu,nilijitahdi kujinasua lakini akawa ameishanijulia udhaifu wangu hata kabla ya kulitenda jambo...
  10. T

    Kwaherini wenzangu!

    Wenzangu wa MMU, Wengi wenu sikuwasikiliza lakini sikio la kufa .......... Nikawasikiliza wachache na nikajikuta nimejaribu kwa mke wa wa mtu,utamu nikaupata na sasa jamaa-mumewe amenijua na amesema nimchukue mke hamtaki tena kwa sababu kapata uja uzito wangu na hataki kusikia kitu amenipa...
  11. T

    NATAFUTA iPHONE !

    Mkuu ngoja nikusaidie uingie kwenye technology na utamu wa maisha ,anzia kwenye used nakupunguzia inunue kwa 249,950Tshs Ina gurantee ya 6 month kwenye hardware ni iphone 3G u/16 GB capacity used in US,working perfectly. Condition ni uishukuru JF tu.
  12. T

    Bureau change 24hrs?

    Pole kama umeumbuka,kama uko DSM siku nyingine nenda uwanja wa kimataifa,JKNIA. Pole!
  13. T

    Kissing

    Especially ladies. It's a reflex action,kama unavyoona moto unatoa mkono-unauvuta na sio kuusukumia kwenye moto.
  14. T

    Saa ya kuongozwa na wachaga ama wahaya; wengine wote bomu kwa kweli

    Shida kubwa ya vikabila vidogo akiingia cha kwanza ni mpaka aulete mkoa wake kwenye chat ,muda huo wote miaka 5 imekwishapita. Hao jamaa wana vichwa lakini si unakumbuka kuna watu walipewa u Pm tu,wakataka umeme kwanza ufike kwao,milima ihamie kwao etc. Sasa wape wahaya, kuna hasira za vita vya...
  15. T

    Mke wa mtu

    Inaelekea si mtamu huyo dada. Maana wanaume kama mwanamke ni mtamu hawaji kuomba ushauri ,wanajishauri wenyewe huko huko. Maana jibu unalijua ila unataka majibu ya kukupa moyo kuwa kula kama ya kina Mh. Emasaku. Wake zetu huwa watamu na ndio maana tunaendelea kuwa nao,sasa wewe leta...
  16. T

    JF Morogoro MPOOOO?

    TNA,sisi tuliopotea wakati watu wengine jioni wanapambana na ma biere sisi hupambana na chai na juiithi,
  17. T

    JF Morogoro MPOOOO?

    Mkuu hata usipokuwa nao,ni pm nilizonazo siwezi kuzimaliza,nimestaafu juzi x 2,
  18. T

    Mnamkumbuka huyu dada!!

    Sasa ale wapi? Mhshimiwa Gama kasema ni mlokole".......kumuona igunga ndo munahukumu kuwa si mlokole?" Uzuri wa walokole wa CCM wengi huwa wanajua timing ya kuwa mlokole na timing ya kula! CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeh
  19. T

    Mwanamke kumtongoza mwanaume na tamaduni za Kiafrika

    Does it matter kama ni indirect au direct. Maana kuna kina dada siku hizi anakukaribisha kwake na anakuambia she will b home kuanzia around 1000. Kama hukuelewa hapoa si inabidi ukapimwe?:confused2:
  20. T

    JF Morogoro MPOOOO?

    Wakuu salaam, Naomba kujua ni wapi Morogoro naweza kupata chakula safi na chai ya jioni safi-gharama sio shida Niko Morogoro na nitakuwa hapa kwa siku 7. Ningefurahi kama ni sehemu karibu na mjini. Natanguliza shukurani. TMK
Back
Top Bottom