Nahitaji used 5 drs RAV4 any yr between 1999 mpaka leo, offer 8.5M

TMK DAR

Member
Jul 27, 2011
46
11
Wakuu nisaidieni na mimi niingie njiani,nahitaji nianzie kwenye used RAV4-auto au manual/5 doors/any color/Km1-100,000.
Ili mradi iwe kwenye hali nzuri kwenye engine na bodi,tyre na usafi wa kuridhisha.
naanzia kwenye 8.5Million(8,500,000).
BIMA SIO MUHIMU, NITAENDESHEA huku huku.unaweza kuni PM au kunitumia temeke2012@yahoo.com
TMK DAR
 
Kuna rav4 gx VVTI, 2001, imeingia dar september 2011, milleage km 111000. bei mil25. Ipo Tanga
 
nikushauri ndugu yangu,, kwa rav4 ya kuanzia 1999 yenye milage hiyo uliosema, utapata kwa ugumu sana, magari kiuhalisia yamepanda sana bei,,, ila anyway, nikutakie kila la kheri,, pengine unaweza ukabahatika,,,
 
Yaani gari toka mwaka 1998 iwe imetembea kilometer chini ya 100,000??!!
Ok, Dubai wanaweza kuifanya hata ionyeshe haijatembea kabisa!!!, jaribu kuagizia huko mkuu!!
 
Try to google-autorec,picknbuy,japaneseusedvehicle! utapata kwa iyo bei maana mpka dola elfu 3 au 2.5 unapata ambayo ni sawa na 5 au 6m na utabaki na salio na pia insurance halijalipiwa!
 
SIJAKUELEWA!!
hiyo bei unayotaja ni FOB(bei ya gari ikiwa Japan),kusafirisha hadi bongo na ukaguzi ni around USD1500, kodi ya hapa bongo ni karibu sawa na jumla ya gharama ya kununua na kuisafirisha gari.....kwa taarifa yako...kuagiza VITZ sasa hivi unaweza ukastruggle sana kuifikisha na kulipa kodi kwa less than 6M.
 
Wakuu nisaidieni na mimi niingie njiani,nahitaji nianzie kwenye used RAV4-auto au manual/5 doors/any color/Km1-100,000.
Ili mradi iwe kwenye hali nzuri kwenye engine na bodi,tyre na usafi wa kuridhisha.
naanzia kwenye 8.5Million(8,500,000).
BIMA SIO MUHIMU, NITAENDESHEA huku huku.unaweza kuni PM au kunitumia temeke2012@yahoo.com
TMK DAR
Ndugu yangu TMK, huwezi kupata Rav 4 ya 1999 na kuendelea kwa bei hiyo!. Kwa budget hiyo utapata ile ya milango 3 na kama ni milango 5 then utaweza kupata ya 1995!.
Tembelea www.atccars.com
 
SIJAKUELEWA!!
hiyo bei unayotaja ni FOB(bei ya gari ikiwa Japan),kusafirisha hadi bongo na ukaguzi ni around USD1500, kodi ya hapa bongo ni karibu sawa na jumla ya gharama ya kununua na kuisafirisha gari.....kwa taarifa yako...kuagiza VITZ sasa hivi unaweza ukastruggle sana kuifikisha na kulipa kodi kwa less than 6M.

c anapenda cheap, mwambie aagize dubai na iyo 8.5m!
 
ninauza toyota rav4 ya blue ya 1998 @TZS 8.5M left hand drive. Imeendeshwa na mtu mmoja tangu inunuliwe mpya mpaka sasa. Kama utakuwa interested private message me.
 
ndugu yangu tmk, huwezi kupata rav 4 ya 1999 na kuendelea kwa bei hiyo!. Kwa budget hiyo utapata ile ya milango 3 na kama ni milango 5 then utaweza kupata ya 1995!. Tembelea www.atccars.com
hata ya milango 3 hapati lbd iwe choka mbaya
 
Try to google-autorec,picknbuy,japaneseusedvehicle! utapata kwa iyo bei maana mpka dola elfu 3 au 2.5 unapata ambayo ni sawa na 5 au 6m na utabaki na salio na pia insurance halijalipiwa!

Hawezi kupata Rav 4, 5 doors kwa hiyo bei Mkuu, hizo bei unazotaja kwa Autorec ni za salon cars.
 
8.5 unapata kaka kuna watu kibao wanauza kutokana na emergency na kama uko serious tembelea LOKO PROMO unapata Rav 4 fasta
 
Wakuu nisaidieni na mimi niingie njiani,nahitaji nianzie kwenye used RAV4-auto au manual/5 doors/any color/Km1-100,000.
Ili mradi iwe kwenye hali nzuri kwenye engine na bodi,tyre na usafi wa kuridhisha.
naanzia kwenye 8.5Million(8,500,000).
BIMA SIO MUHIMU, NITAENDESHEA huku huku.unaweza kuni PM au kunitumia temeke2012@yahoo.com
TMK DAR

Piga 0713417107 uliza Limbe
 
Wana jamii natafuta batery ya SAMSUNG GALAXY mini GT-S5570, nimetafuta sana mjini Dsm bila mafanikio kabisa. Naomba msaada wenu wana forum. (Contact me 0713599507 au 0784599507)
 
Back
Top Bottom