Search results

  1. K

    Barua ya wazi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    RAIS shikamoo, Pole na Hongera sana kwa majukumu mazito ya kusukuma gurudumu la taifa letu. Mheshimiwa RAIS naandika BARUA hii nikiwa na majonzi mazito sana moyoni mwangu. Mheshimiwa RAIS nitajikita katika wizara ya TAMISEMI hususan katika SEKTA ya ELIMU kwani ndiyo sekta nyeti sana katika nchi...
  2. K

    Serikali iwaajiri Walimu wahitimu wa mwaka 2015-2018 kwa mkupuo

    Serikali kupitia OR TAMISEMI inawajibu wa kuwaajiri walimu hususan wahitimu wa mwaka 2015-2018 kwa mkupuo bila kujali masomo waliosoma. Walimu hawa wengi wao wapo mitaani wakirandaranda huku na kule ili kuwezesha mikono yao iende kinywani. KWANINI SERIKALI IWAAJIRI WALIMU HAWA KWA MKUPUO? 1...
Back
Top Bottom