Search results

  1. elmagnifico

    INAUZWA Vifaa vya studio vinauzwa

    Mic akg1000s kwa 230000 soundcard ya behringer um2 kwa 230000, mic stand kwa inayosimama sakafuni kwa 40000, ya mezani kwa 30000, pop filter 20000 na waya zake. Au kamata vyote kwa 500000 Vinapatikana bunju B. 0677508568
  2. elmagnifico

    Car4Sale BMW 525i inauzwa

    Ina cc2400 Imetembea 108000km Bado iko katika hali nzuri. Inapatikana tegeta DSM. Bei 12.5 ml Call +255 769 118 686
  3. elmagnifico

    Binti aliyebebeshwa dawa za kulevya na mchumba wake wakati wa safari ya kwenda kutambulishwa ukweni

    Jumapili nilikuwa nasikiliza kipindi cha njia panda cha Clouds nikasikia story yam dada flani anayeitwa Mansura. Mansura ni mwenyeji wa Moshi, alikuja kuishi Dar mwaka 2013 wakati alipojiunga na chuo cha Bandari. Kama mnavyojua mabinti wa chuo, Manstura alikuwa ni sista du wa ukweli. Siku moja...
  4. elmagnifico

    Huyu msanii Sia ni hatari

    Nilikuwa natazama animation flani ya muda inaitwa Bellarina sasa kuna wimbo ukapigwa unaitwa suitcase ukanivutia nikataka kujua kauimba nani. Ndipo nikaja kugundua ni mwanamama mzaliwa wa australia ambaye anaishi US anaitwa Sia. Nikatafta nyimbo zake nyingine youtube nikakutana masong makali...
  5. elmagnifico

    Tuwalinde watoto wetu jamani hata baina yao

    Jana mida ya jioni nilikuwa nimetulia mara nikasikia mama flani jirani na nilipo anamshushia kipigo mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka kama mitano au sita. Alimpiga sana ikabidi niingilie nikamwambia atamuumiza anampiga mtoto vibaya, hakunijibu aliendelea kumshushia kipigo. Mara akaanza...
  6. elmagnifico

    Wekeza kwenye uchimbaji wa dhahabu kwa mtaji wa Tsh. milioni 60

    Unaweza kuwekeza kwenye uchenjuaji wa dhahabu na ukapata faida kubwa sana kea muda mfupi kutokana na kiasi ulichowekeza. Kuna sehemu inaitwa Mwamazengo iko huko Mwanza kuna eneo lina leseni kwa ajili ya uchimbani wa dhahabu. Pale ukiwa na mtaji wa Tshs 50 milioni ndani ya muda mfupi inaweza...
  7. elmagnifico

    Chief Mkwawa na wanajukwaa wengine naombeni nichambulieni Dell 13-7000

    Vipi hii pc inafaa ni Core i5 maana huwa nashindwa kutofautisha processor generations.
  8. elmagnifico

    Eneo linauzwa Gongo la Mboto lina Hostel ambayo haijamalizika

    Kuna mama anauza eneo lake Gongo la Mboto alikuwa anajenga hostel akaishia kwenye renta. Ana tatizo alipata stroke anahitaji pesa ya haraka kwa ajili ya matibabu. Picha la eneo sina kufika pia sijawahi ila kwa anayehitaji naweza kumpatia namba ya mhusika akapaone maana mimi si dalali ila...
  9. elmagnifico

    Nafasi ya kazi

    A known Polyclinic is looking for a part time administrator who is competent and hardworking also can comply with all the office rules that is timings, discipline and good leadership. 4:00pm to 8:00pm weekdays, Sat: 2:00pm to 6:00pm Sun: 9:00 to 2:00pm this includes holidays. The Facility is...
  10. elmagnifico

    Huyu ndiye tapeli aliyetapeli viongozi wote wa Afrika

    Ushawahi kutapeliwa au umewahi kusikia majina ya matapeli wakubwa duniani na akili waliyokuwa wanatumia kutapeli watu hadi kwako wakaonekana mashujaa. Huenda hukuwahi kusikia jina la mtoto wa Afrika mzaliwa wa Cameroon aliyejulikana kama Donatien Koagne, the King of Feymania. Huyu jamaa ni...
  11. elmagnifico

    Natafuta ule mkaa mbadala

    Natafuta muuzaji wa jumla wa huu mkaa nitapata wapi mwenye contact kwa dar
  12. elmagnifico

    Nawezaje funga internet kwa individual app

    Kuna feature moja mwenye ios ambapo unaweza zuia app yoyote isi access internet. Nimejaribu kwenye android lakini sijapata namna naona kuna stop app from running in the background lakini app kama whatsapp still ina run. Je kuna namna ya kuzuia nyingine? Ila android 9 iko vizuri kwakweli hasa...
  13. elmagnifico

    Vitu vya ndanivinauzwa

    Kitanda 220000 sofa 360000 friji 420000 Locatio tegeta wazo Simu 0678332605 Reason narudi kijijini kulima[emoji16]
  14. elmagnifico

    Friji hisense inauzwa

    Ilinunuliwa mpya Game Mcty Used kwa mwaka na miezi 2 Haina tatizo Bei 420000 Location tegeta wazo 0688496566
  15. elmagnifico

    Mwenye gunia za kitani mwanza

    Kama kuna mtu anauza gunia za katani mwanza tafadhali naomba ani pm Zile za kuweka kahawa siyo yale yenye mistari miwili nataka yale plain mapya na yasiwe jute
  16. elmagnifico

    Samsung A10 used 3 weeks for sale

    Inauzwa ina kila kitu chake box, charger na earphome Used three weeks No dent as clean as new Bei 230000 32gb ram 2gb waterdrop notc Napatikana Tegeta Wazo: Call 0688496566
  17. elmagnifico

    Wizi mkubwa wa pesa za noti zenye uzito wa tani 3.

    Tarehe 8, mwezi wa 8 mwaka 2005, saa tatu asubuhi ikiwa ni siku ya Jumatatu, moja ya tawi la Bank Kuu ya Brazil lililopo katika mji wa Fortaleza katika jimbo la Ceara, lilifunguliwa kama kawaida kwa ajili ya shughuli za kila siku. Manager wa bank anaelekea kwenye chumba cha kuhifadhia pesa...
  18. elmagnifico

    Lijue kundi la kiharifu la PCC la nchini Brazil

    Premier Commando de le Capitale (PCC) Rio De Jeneiro Tarehe 2, mwezi wa 10 mwaka 1992, ndani ya gereza kubwa linalo hifadhi wahalifu sugu katika nchi ya brazil, lijulikanalo kama gereza la Carandiru, kulizuka mapigano baina ya makundi mawili hasimu katika gereza hilo. Chanzo cha ugomvi huo...
Back
Top Bottom