Search results

  1. Nguva Jike

    Kuna muda ni bora kuweka Airplane mode kuepuka mizinga

    Kuwa na sura ngumu mpaka mtu aogope kukukopa.
  2. Nguva Jike

    Kwanini Watu wa Kaskazini ni Weupee pee halaf wa kusini ni Weusi tii? In Tanzania

    Wa kusini weusi kutokana na baridi kali joto huleta weupe.
  3. Nguva Jike

    Kifanyike kipi kuboresha Mikopo kausha damu iwe na manufaa kwa wakopaji?

    Watu wafanye ibada sana na kufuata mafundisho ya dini ili waogope yote waliyokatazwa ikiwemo riba haramu nyoookoooniiinaaa.
  4. Nguva Jike

    Ukipata mtoto ukiwa na miaka 40, mpaka anamaliza chuo utakuwa na umri gani?

    KUNA MTU UNAMSEMA HAPA KISAIKOLOJIA HUTAKI AOE AU AZAE [emoji23]
  5. Nguva Jike

    Nina ndoto ya kuonana na Raisi yoyote wa nchi nitafanikiwaje?

    Mimi sio mlutheri kanisa lilichukua wanafunzi wa dini zote.
  6. Nguva Jike

    Nina ndoto ya kuonana na Raisi yoyote wa nchi nitafanikiwaje?

    Kumuona na kuongea nae hata kwa dakika chache.
  7. Nguva Jike

    Nina ndoto ya kuonana na Raisi yoyote wa nchi nitafanikiwaje?

    Habari za jioni wadau. Nilipokuwa chekechea mwaka 1994 pale KKKT Korogwe kwa aunt yangu alikuja raisi wa awamu ya pili marehemu Ali Hasan Mwinyi katika uwanja wa TTC chuo cha ualimu Korogwe. Nikamuomba Aunt aniruhusu niende nikamuone raisi lakini aunt alikataa akihofia umati mkubwa uliokuwepo...
  8. Nguva Jike

    Nina ndoto ya kuonana na raisi yoyote wa nchi nitafanikiwaje?

    Habari za jioni wadau. Nilipokuwa chekechea mwaka 1994 pale KKKT korogwe kwa aunt yangu alikuja raisi wa awamu ya pili marehemu Ali Hasan Mwinyi katika uwanja wa TTC chuo cha ualimu Korogwe. Nikamuomba aunt aniruhusu niende nikamuone raisi lakini aunt alikataa akihofia umati mkubwa uliokuwepo...
  9. Nguva Jike

    Tabiri yatakayotokea Mei Mosi 2024 Arusha

    6.NATABIRI WATUMISHI WALIOHAMISHWA WASITEGEMEE CHOCHOTE HASA LA KULIPWA STAHIKI ZAO KAMA VILE DISTURBANCE ALLOWANCE, TRANSPORT ALLOWANCE ETC.
  10. Nguva Jike

    Hata kama mkeo na watoto unawapenda usisafiri nao kwenye gari moja; wahenga waliishi muda mrefu kwa kukwepa haya

    Kweli pia watu wasiache kusoma visomo vikali kama albadeer wanaponusurika katika kila jambo inasaidia kufagia maadui wabaya.
  11. Nguva Jike

    Hivi ninayechukizwa sana na tabia hizi zifuatazo niko peke yangu au?

    Nachukia mtu ana hela nyingi halafu bado ananyonya wasio nacho ili aheshimiwe sana.
  12. Nguva Jike

    Kitendo cha Walimu wengi Kuomba Kazi kuboresha Daftari la mpiga kura Basi ni kielelezo tosha Maslahi ya Walimu ni Duni...

    Walimu wafanye ibada kila mtu kwa dini yake,wakikopa wawe makini na kufanya maendeleo ya kudumu kwa pesa za mkopo kinyume na hapo watapata tabu Sana.
  13. Nguva Jike

    Msaada ameyakanyaga Bank ya ABC

    Akasome albadeer,akavunje chungu na kulaani kitendo hicho.
  14. Nguva Jike

    Kwa Kamanda IGP na RPC Dodoma

    Jirani yako akirudi mwambie akavunje chungu hakuna namna
Back
Top Bottom